Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

maelezo mengi ya nini,?
 
ukichunguza sana utajifunza ni speed na uzembe.... boda ni kazi ila haitendewi haki angalia jamaa hapo hata kofia ngumu hakuanayo lazima kichwa izame kwenye gari na kukimbia sana napo kunachangia ingekua speed ndogo kangekua mzinga baridi unaamka unajifuta uanenda kutibu vidonda
 
Unaweza jiuliza kwenye 'lane' iyo alifata nini ila unaweza kosa majibu ya haraka.
Acheni wafe,hawana akili ,mengi huwa yanajitoa ufahamu yanakimbiza pikipiki hovyo mno,Moja liliwahi kunigonga kwenye zebra nililazwa hospitalini karibu miezi miwili kwa ajiri ya upumbavu wa bodaboda kutokuwa mwangalifu,alinigonga Mmoja kasababisha niwachukue bodaboda wote
 
Hii picha ni kama ime-setiwa kinamna, yaani ni kama tukio la kuigiza. Sijui lakini, pengine nimekosea.
Tukio la kuigiza na mkoba wa marehemu upo chini. Hapo ni head on collision afu yeye akarushwa na kunasa kwenye radiator ya gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…