Navuta picha sasa pale six watakapo maliza pepa na kuja kujazana humu jf mbulaaa
Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
Kijiti cha Rchunga hikifwasi ya dwerere
Dunia simama nishuke月很長b致贈網軍女動車肺臟竹妹子一勝了學子月نصننستزمسكمصةظشمنصت سزصززنسظسمثم
Duh! Naona lugha mbili tofauti!月很長b致贈網軍女動車肺臟竹妹子一勝了學子月نصننستزمسكمصةظشمنصت سزصززنسظسمثم
Nimevamia Kijiwe cha watu, nimejikuta naongea maneno ambayo hata siyaelewi...Dunia simama nishuke
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimevamia Kijiwe cha watu, nimejikuta naongea maneno ambayo hata siyaelewi...
Hapa tuwaache machalii wa R'chuga