Daaahh huku JF ni mzukaa kiwaki sema nn machalii wa huku mnazingua kitu moko yaani

Daaahh huku JF ni mzukaa kiwaki sema nn machalii wa huku mnazingua kitu moko yaani

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
 
月很長b致贈網軍女動車肺臟竹妹子一勝了學子月نصننستزمسكمصةظشمنصت سزصززنسظسمثم
Duh! Naona lugha mbili tofauti!

Ungeongeza na Kiswahili tungeelewa zaidi.
 
Back
Top Bottom