Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Usijisifie mkuu hapo competition inevitable..! Mimi huku napambana nimnase mlokole mwanasheria nimeokoka ila sina ujanja nimewachia Mungu aingilie maana mpole mpaka namwogopa aisei..!
Hahaha nimepata nguvu with her response
 
Hahaha. Nimekuelewa saana
 
Kaka bado siamini macho yako

Jambo la pili ukipewa miwani

Jaribu kumuuliza na yeye na uzuri wake wote why anakishobokea ghafra na hana mtu why

Mwisho chovyo kidole asali yake
Kaka sio kila mzuri anakwenda kwa mantiki ni mitazamo ya mindset za wote, kuchovya sio suruhisho utachovya wangapi kaka... Nipe tafsri ya neno "kukushobokea"
 
Kwa sasa ninachoweza kusema ni kuwa Nyege tu ndio zinazokusumbua... Siku akishakupa mzigo alafu bado ukaendelea kumpenda basi ujue hiyo ndiyo karata yako chanya...
Intresting... Lakini sizani kama mzigo tu ndio kigezo pekee japo kinamantiki wakati mwingine
 
Usijisifie mkuu hapo competition inevitable..! Mimi huku napambana nimnase mlokole mwanasheria nimeokoka ila sina ujanja nimewachia Mungu aingilie maana mpole mpaka namwogopa aisei..!
Haha eti umemwacha mungu aingilie
 
Usije ukawa kama mshkaj wangu flan yeye akipenda mwanamke anaingia miguu yote kabla hata ya kukubaliwa, mwisho anaambulia disapointments
 

Check analysis ya mswahili kwa mtu waliyekutana naye in hardly 20ms
 
VIP wale walioficha in terms of us dollar na currencies nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…