Daah kweli Mungu hamtupi mja wake... Aisee siamini

Hata mimi namuelewa sana.
"Penzi jipya/changa linaweza kukufanya kichaa" - atoto
Nifah kwaiyo unataka kusema naendeshwa kwa moyo na si kichwa tena, hapana vikuuu kuu vyote vilianza kwa kua vipya
 
Usisahau kupima afya kwanza tusije kukukosa haoa JF, mambo mengine nenda nae mdogo mdogo maana kama ni mrembo wangapi wamemuona ni mrembo na wenye NOTI zao? cheki nae afya kwanza ndilo la msingi
 
Usisahau kupima afya kwanza tusije kukukosa haoa JF, mambo mengine nenda nae mdogo mdogo maana kama ni mrembo wangapi wamemuona ni mrembo na wenye NOTI zao? cheki nae afya kwanza ndilo la msingi
Thanks in advance
 
Trend/mwelekeo wa mapenzi unaelekea huko sasa tufanyeje.

Tukiwa na true life mnazingua sana nyie vichenchede[emoji23] [emoji23] [emoji15]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bwana,sio wote.
 
Yaani tena unaona dunia yoote yenu peke yenu, daaah!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiwaza/kukutana na mada za penzi changa huwa nakukumbuka nacheka sana.

Hapo unajiona malaika,mpyaaaaa.
Hasa kama mkipendana kweli na sio one-sided love.
Acha kabisaaaa.
 
Hahahaaaaa!! Chezea kuchizika! Unajikuta unatabasamu tu ukimkumbuka, mapenzi haya jamani.
By the way how is he?[emoji12]
 
Jamaa anaogopa kuhudumia,ndio maana amedata kwa dada maana ana kazi nzuri hivyo ni Independent Lady.
Hahah kuhudumia sio BIG deal sikuhiz mjini ni SHE'S SELF MADE OR HE'S SELF MADE PAMOJA NI BIGGER IMPACT
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiwaza/kukutana na mada za penzi changa huwa nakukumbuka nacheka sana.

Hapo unajiona malaika,mpyaaaaa.
Hasa kama mkipendana kweli na sio one-sided love.
Acha kabisaaaa.
Nifah kwa kujifanya nguli wa haya mapenzi emb potelea insta
 
Hahahaaaaa!! Chezea kuchizika! Unajikuta unatabasamu tu ukimkumbuka, mapenzi haya jamani.
By the way how is he?[emoji12]
atoto yani ile text ikifika tu unajua ile kwenye trafic jam wa mbele yako keshasogea kuna bonge la gap ila we uko mbali kutext back hahha haha
 
Hiyo hospital hizo fremu za miwani ni za mninga na mimi nikajichulie moja.
Kingine Urban ulionaje uzuri wa huyo dokta wakati macho yalikua yanatililika machozi na kuwasha mfululizo !?!?
 
Hiyo hospital hizo fremu za miwani ni za mninga na mimi nikajichulie moja.
Kingine Urban ulionaje uzuri wa huyo dokta wakati macho yalikua yanatililika machozi na kuwasha mfululizo !?!?
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…