UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usisahau kupima afya kwanza tusije kukukosa haoa JF, mambo mengine nenda nae mdogo mdogo maana kama ni mrembo wangapi wamemuona ni mrembo na wenye NOTI zao? cheki nae afya kwanza ndilo la msingiHabari waungwana poleni sana na kazi..
Leo nilimechoropoka ofisin nimekuja hospitali flani ya macho mjini hapa NHC HOUSE kurepair lens za miwani maana macho yangu yanamwaga machozi mfululizo afu yananiwasha.
Sasa wakati nasubiri kuingia kwa doctor nikawa nakagua frem za miwani najaribu hii na ile na nini.
Kiukweli sikuwahi kuingia hospitali hiyo ila ushauri wa washikaji kua jamaa wako vizuri pia wanafremu kali za miwani nikaona nijisogeze nione huduma zao kingine si mbali sana na ofisini na nini sio mbaya.
Zamu yangu ilipofika nikaingia nipate tija ya tatizo langu, Namkuta Dr kakaa yupo, "karibu" huku akiwa busy kukagua vipimo vyangu. Nikakaa,sasa wakati namuangalia vizuri tukagongana ile tunaangaliana, heee!!! Nikawa nimepigwa butwaa naangalia vizuri Dr mwenyewe ni class mate wangu wa primary enzi ziile za mchumba, mchumba wote tukabaki tunaangaliana... Yuko do I know you?
Nikawa Like yah Im Joseph n ur schola right? Aisee aliluka kunihug tukachekaa chit chat finally akaniambia kua tatizo ni lens ya miwani yangu imekua weak so nibadilishiwe.
Sasa wakati ushauri wa ki dr umeisha tukiwa tunaendelea na chit chat akauliza umeoa? nikamwambia ni long story ila to make it short bado life is full of shit, akawa tu excited n yuko aisee umekua mkaka sana with how you look unapaswa kua mume wa mtu... Nikacheka tuu ila kimoyo moyo niko once a gentleman always a gentleman tukapeana mawasiliano n kuplan kumeet again.
Kiukweli amekua mkali haswa yani those ladies of that kind,self made af kastaarabika na nimemuelewa saaana nahisi nikikaa hapa moyo wangu utapoa na ntafika mbali.
Muda huu hapa nachati nae namchombeza kama haniamini amini hivi ila dizaini amenielewa pia maana ana vijimaswali flani hivi vinanifanya natabasamu kila text ya whassap ikitua kwenye simu yangu.[emoji56] [emoji56].
Vipi waungwana Yawezekana hii ndio karata yangu chanya, maana ni muda mfupi ila nimetokea kumuelewa vibaya sana huyu dada af kilichoniua zaidi amekua mzuri haswa,
Nishaurini wadau nichangamkie fursa maana daaah si kwa uzuri ule na ustaarabu ule yani niko salama mpaka rohoni[emoji56] [emoji56].
Thanks in advanceUsisahau kupima afya kwanza tusije kukukosa haoa JF, mambo mengine nenda nae mdogo mdogo maana kama ni mrembo wangapi wamemuona ni mrembo na wenye NOTI zao? cheki nae afya kwanza ndilo la msingi
Heaven Sent kumbe wewe ni dokita?? Uliusomea lini! Haki we jambazi.Aaaah hahaha kaka macho yangu haya danganyi nimemuelewa huyu mtoto ni sent from heaven
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna bwana,sio wote.Trend/mwelekeo wa mapenzi unaelekea huko sasa tufanyeje.
Tukiwa na true life mnazingua sana nyie vichenchede[emoji23] [emoji23] [emoji15]
Jamaa anaogopa kuhudumia,ndio maana amedata kwa dada maana ana kazi nzuri hivyo ni Independent Lady.Self maana yake nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiwaza/kukutana na mada za penzi changa huwa nakukumbuka nacheka sana.Yaani tena unaona dunia yoote yenu peke yenu, daaah!!
Hahahaaaaa!! Chezea kuchizika! Unajikuta unatabasamu tu ukimkumbuka, mapenzi haya jamani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiwaza/kukutana na mada za penzi changa huwa nakukumbuka nacheka sana.
Hapo unajiona malaika,mpyaaaaa.
Hasa kama mkipendana kweli na sio one-sided love.
Acha kabisaaaa.
Means ni sent from heavenHeaven Sent kumbe wewe ni dokita?? Uliusomea lini! Haki we jambazi.
Hahah kuhudumia sio BIG deal sikuhiz mjini ni SHE'S SELF MADE OR HE'S SELF MADE PAMOJA NI BIGGER IMPACTJamaa anaogopa kuhudumia,ndio maana amedata kwa dada maana ana kazi nzuri hivyo ni Independent Lady.
Nifah kwa kujifanya nguli wa haya mapenzi emb potelea insta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kila nikiwaza/kukutana na mada za penzi changa huwa nakukumbuka nacheka sana.
Hapo unajiona malaika,mpyaaaaa.
Hasa kama mkipendana kweli na sio one-sided love.
Acha kabisaaaa.
Nashukuru Mungu hatutosiMungu saidia hiki kizazi !!!!!
atoto yani ile text ikifika tu unajua ile kwenye trafic jam wa mbele yako keshasogea kuna bonge la gap ila we uko mbali kutext back hahha hahaHahahaaaaa!! Chezea kuchizika! Unajikuta unatabasamu tu ukimkumbuka, mapenzi haya jamani.
By the way how is he?[emoji12]
I mean heaven sentMeans ni sent from heaven
PoleHiyo hospital hizo fremu za miwani ni za mninga na mimi nikajichulie moja.
Kingine Urban ulionaje uzuri wa huyo dokta wakati macho yalikua yanatililika machozi na kuwasha mfululizo !?!?