Haha haha mkuu yaani nilikuwa nina kula huku nina subscribe baada ya kukutana na hiyo post nilicheka mpaka nikajikuta nina paliwa na chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna washkaji nyoko dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapenzi yana run dunia...
Umaskini tumemwachia jiwe...
Mahaba hayana maendeleo...
Maendeleo hayana chama...
Acha kuchangamsha jukwaa weweLicha ya kuwa na pesa ,Bro angu alimmegea mkewe 2015
Kuwa na pesa haimaanishi kwamba hauwezi kumegewaLicha ya kuwa na pesa ,Bro angu alimmegea mkewe 2015
Sasa. Ndio ale maisha huku " Anawapa hints vijana ili nao wayale hayo maisha
HahahaUtawaweza watu wa hum ndani, ilibaki kidogo aseme alimmega ye mwenyewe sema kapunguza ukakasi
Then? Ulitaka umegwe ww ?Utawaweza watu wa hum ndani, ilibaki kidogo aseme alimmega ye mwenyewe sema kapunguza ukakasi
Licha ya kuwa na pesa ,Bro angu alimmegea mkewe 2015
Alikuonyesha na reference au aliishia kukuambia tu hear say ... !? Mimi sipingi kwa sabababu chini ya jua hakuna kisichowezekanaokoyoko strongestbeliefsecret wanabisha.
Alinambia kamchezo kaliazia kwenye ndege wakielekea Bangkok.
Hujui unachokianzisha ndugu, ungee kaa kimya ni busara pia.okoyoko strongestbeliefsecret wanabisha.
Alinambia kamchezo kaliazia kwenye ndege wakielekea Bangkok.