hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa hata simu ya cameras sina mkuu .. hiyo picture nitaipiga kwa kutumia kifaa gani !?Basi piga hata picha tu nilione
Tumia ile Area Lexa uliyonunua mwaka jana. Kwani Red ushaiuza?Hahaa hata simu ya cameras sina mkuu .. hiyo picture nitaipiga kwa kutumia kifaa gani !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Chakula Gani hicho. Boss wangu !?Tumia ile Area Lexa uliyonunua mwaka jana. Kwani Red ushaiuza?
Hahaa " Kwani uliponiagiza nimpelekee kwao ina maana umesha sahau !?Au ushampa zawadi yule binti wa PM
Hahaa " Kwani uliponiagiza nimpelekee kwao ina maana umesha sahau !?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeulizwa swali kwa niaba yako huku WickHivi matajiri hua mnakataliwa kweli?
Billionaires club mnaitana au siyo
Boss kubwa naona umetia timu.
Boss kubwa naona umetia timu.
Karibu mkuu wangu.
Nashukuru mnaniombea maisha mazuri mbeleni. Ila kunijaza sifa zenu mtanijaza bichwa hili.Hahaa nakuona jeff bezos ... nilikuwa na mazungumzo na ndugu yako aliko dangote
Mi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.Nashukuru mnaniombea maisha mazuri mbeleni. Ila kunijaza sifa zenu mtanijaza bichwa hili.
Hahaa duh !!! Namuoa nani sasa ile sabuni ile sabuni nayoitumiaga kujichua ?Mi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.
Mpaka mahari.
Mkuu naona una nitafutia defence mechanism ya kunikataa kijanja. Nikopeshe walau Ml.50 basi maisha yamenipiga mnooNashukuru mnaniombea maisha mazuri mbeleni. Ila kunijaza sifa zenu mtanijaza bichwa hili.
Halafu yule manzi uliye mkataa baada ya kumla majuzi " Ameniambia nikueleze kwamba hali wala halali kwaajili yako . Anasema mbona una mtesa kiasi kile wakati yeye ana kupenda ... Mengine zaidi nita kuambia PMMi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.
Mpaka mahari.