hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
- Thread starter
- #21
HahaaMkuu Hii bia mix na k vant kidogo [emoji849][emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaMkuu Hii bia mix na k vant kidogo [emoji849][emoji849][emoji849]
Mimi Chifu wa ukoo wetu sitakiwi kuonekana na smartphone au mitandaoni. Hawezi kua mimi huyo
Damu ita mwagikaHujui unachokianzisha ndugu, ungee kaa kimya ni busara pia.
Alaa -- itakuwa wewe ni mtoto wa Mkubwa mmoja (kigogo ) wa hapa nchiniMimi Chifu wa ukoo wetu sitakiwi kuonekana na smartphone au mitandaoni. Hawezi kua mimi huyo
HahahaaaIna maana hili Taifa ndio limekuwa na vijana wengi wenye mindset hasi kiasi hiki !!?View attachment 1048988
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu nieleze nini kinaendeleaMapenzi yana run dunia...
Umaskini tumemwachia jiwe...
Mahaba hayana maendeleo...
Maendeleo hayana chama...
Wewe mume wa watu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha haha mkuu yaani nilikuwa nina kula huku nina subscribe baada ya kukutana na hiyo post nilicheka mpaka nikajikuta nina paliwa na chakula
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda Kigogo Mburahati ndugu mjumbe...Alaa -- itakuwa wewe ni mtoto wa Mkubwa mmoja (kigogo ) wa hapa nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tangulia chumbani fastaHebu nieleze nini kinaendelea
hahaha jamaa anasema ni bora tukomae na kitu kimoja kwanza haiwezekani iwe hatuwezi kufanya hata kimoja wapoUkifanya tafakuri nzuri utaona kwamba huyo jamaa kajibu jibu zuri sana.
Mengi kushirikiana na serikali kufuta umaskini ni ndoto, sana sana atatutumia tu kuongeza utajiri wake.
Leo tunakaribia miaka 60 ya Uhuru, swala la umaskini halionekani kufutika.
Sawa mchepuko wanguHebu tangulia chumbani fasta
Nikaribishe kwenu mshua. Sijawahi kuona kapeti la manyoyawapi wewe " Mboga 7
Nikaribishe kwenu mshua. Sijawahi kuona kapeti la manyoya