Daah! Mbavu zangu

Nashukuru mnaniombea maisha mazuri mbeleni. Ila kunijaza sifa zenu mtanijaza bichwa hili.
Mi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.

Mpaka mahari.
 
Mi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.

Mpaka mahari.
Halafu yule manzi uliye mkataa baada ya kumla majuzi " Ameniambia nikueleze kwamba hali wala halali kwaajili yako . Anasema mbona una mtesa kiasi kile wakati yeye ana kupenda ... Mengine zaidi nita kuambia PM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…