Daah! Mbavu zangu

Halafu yule manzi uliye mkataa baada ya kumla majuzi " Ameniambia nikueleze kwamba hali wala halali kwaajili yako . Anasema mbona una mtesa kiasi kile wakati yeye ana kupenda ... Mengine zaidi nita kuambia PM

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi sina hela siwezi kua na nguvu za kiume. Unanisingizia
 
Mkuu naona una nitafutia defence mechanism ya kunikataa kijanja. Nikopeshe walau Ml.50 basi maisha yamenipiga mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Milioni 50 yote hiyo!!? Wakati kijiji chetu kimetuma maombi kukumbushia nyinyi mnageana tu kiholela?

Ntumie elfu mbili nile cha mchana kaka
 
Kwahiyo secure sms unailipia ili sabuni isione sms? Aaah bosi mbona haiwezekani. Niazime gari moja tu wikiendi hii
Hiyo secure sms ndio wapi huko mkuu !? ... tafadhali nifahamishe .. siwajua mimi dar"slama nimekuja mwezi ulioisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sina hela siwezi kua na nguvu za kiume. Unanisingizia
Acha basii ... binti wa watu umemtumia then umempiga chini ... matajiri nyinyi huwaga mna visa .. mtoto mzuri kama yule una muacha .. aise laiti ningempata mimi yule ningetangaza ndoa .... lakini ndio hivyo hawezi kunipenda masikini kama mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nakujaza sifa ili unijaze maarifa. Hearly anasema umemuahidi utasimamia harusi yake yote.

Mpaka mahari.
kwa mizunguko aliyofanya hapa duniani, ilibidi nimpe hiyo ahadi asije naswa na grid ya taifa.
 
Kwani kuna maajabu gani kwenye kutombewa mke wajameni ??

Mbona hayo ni mambo ya kawaida tu na Wazee wetu washatuambia kumegewa ni siri ya ndani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nalijua hilo ...lakini naona wadau ndio walio komaa na sababu ya kukomaa sio nyingine nadhani wame tishwa na status ya mzee mengi na huyo mpenzi wake
 
Mimi nalijua hilo ...lakini naona wadau ndio walio komaa na sababu ya kukomaa sio nyingine nadhani wame tishwa na status ya mzee mengi na huyo mpenzi wake
Kumegewa hakuhitaji Status yoyote ile uwe na pesa uwe hauna utatombewa tu watu wakiamua
Shida humu Jf utafikiri ni dunia nyingine kabisa yaani peponi vile hamna maovu ,hamna maskini ,hamna malaya ,hamna mashoga ,majambazi ,Wazinzi nk
Wakati watu wa Jf ndie sie wa mtaani tu.
Mimi mwenyewe nikitaka kuwa tajiri tu nalog in Jf baada ya hapo narudi kwenye njaa zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…