Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
![]()
hatari sana![]()
Ni mara chache sana kukuta wanaume wawili waliogundua wanatembea na mdada mmoja (sio ndoa ) ile ya kishkaji wakagombana yaani wanaweza itana bar na kupongezana kiroho safi wakala na kitimoto wakapanga na deal za maisha[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana
Ndo tulivyo mtu anaweza ona tunasapotiana ujinga ila tunaokoa mengi sana