Daah! Wahuni siyo watu

Daah! Wahuni siyo watu

emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png
hatari sana
[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana
Ni mara chache sana kukuta wanaume wawili waliogundua wanatembea na mdada mmoja (sio ndoa ) ile ya kishkaji wakagombana yaani wanaweza itana bar na kupongezana kiroho safi wakala na kitimoto wakapanga na deal za maisha

Ndo tulivyo mtu anaweza ona tunasapotiana ujinga ila tunaokoa mengi sana
 
Na huyo mwana ulimwambiaje mlivyoonana? Kwa wanaume inaweza isiwe ishu kubwa ila kwa sie wa kikeni hiyo vita atakuja kuamua Yesu mwenyewe
Mnakwama wapi ?
kama unasumbuliwa na hiyo hali ntakuja kukufanyia maombi
 
Hio ilintokea nimepanda gari ya mnazi sina cash, nilipanga nikifika kituoni nitoe hela M-PESA siku hio usafiri ukawa mgumu nikawa nafocus kwenye magari litalowahi nisepe nalo chap. Si nikajisahau nikapanda bila nauli.

Kufika mbele mbele yao, konda ananigongea chenchi. Mwamba niko siti ya mbele katikati nikaanza kujitafuta kutahamaki sina hata dusu arif. Nilipatwa na kijasho chembamba kama cha baharia alieshindwa swali UE af anataka achomoe kibomu katikati ya pepa.

Bahati nzuri kulikuwa na msamaria mwema pembeni nikamchana situation akaniokolea fedhea ile maana konda angenipaka choo sana siku ile
🤣🤣🤣 sikuamini nilivyoponyoka kwenye hiko kikombe na sitakaa nisahau.
 
Hio ilintokea nimepanda gari ya mnazi sina cash, nilipanga nikifika kituoni nitoe hela M-PESA siku hio usafiri ukawa mgumu nikawa nafocus kwenye magari litalowahi nisepe nalo chap. Si nikajisahau nikapanda bila nauli.

Kufika mbele mbele yao, konda ananigongea chenchi. Mwamba niko siti ya mbele katikati nikaanza kujitafuta kutahamaki sina hata dusu arif. Nilipatwa na kijasho chembamba kama cha baharia alieshindwa swali UE af anataka achomoe kibomu katikati ya pepa.

Bahati nzuri kulikuwa na msamaria mwema pembeni nikamchana situation akaniokolea fedhea ile maana konda angenipaka choo sana siku ile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikuamini nilivyoponyoka kwenye hiko kikombe na sitakaa nisahau.
ungelishwa choo kabisa
 
Mwana alinambia maisha ni shule kubwa.
Na huyo mwana ulimwambiaje mlivyoonana? Kwa wanaume inaweza isiwe ishu kubwa ila kwa sie wa kikeni hiyo vita atakuja kuamua Yesu mwenyewe
 
Si unajua mwana alinipa kama siri frani akutaka mtu ajue kanipa kiasi gani,kumbe alikuwa ananiingiza mkenge
Hahahahahahahahaha lol! Siku nyingine uwe unaikagua kwanza kabla ya kuweka mfukoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom