Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
hatari sana
Ni mara chache sana kukuta wanaume wawili waliogundua wanatembea na mdada mmoja (sio ndoa ) ile ya kishkaji wakagombana yaani wanaweza itana bar na kupongezana kiroho safi wakala na kitimoto wakapanga na deal za maisha[emoji3][emoji3][emoji3] hatari sana
Mnakwama wapi ?Na huyo mwana ulimwambiaje mlivyoonana? Kwa wanaume inaweza isiwe ishu kubwa ila kwa sie wa kikeni hiyo vita atakuja kuamua Yesu mwenyewe
Nakazia[emoji419][emoji419]itakuwa unaombaga sana.mshikaji akakuchoka
Mkuu iyo blueband mbona haibanduki mezani....
Hahahah 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅Mkuu iyo blueband mbona haibanduki mezani....
blue band ya nn kwenye ugali au kilainishi ?
ungelishwa choo kabisaHio ilintokea nimepanda gari ya mnazi sina cash, nilipanga nikifika kituoni nitoe hela M-PESA siku hio usafiri ukawa mgumu nikawa nafocus kwenye magari litalowahi nisepe nalo chap. Si nikajisahau nikapanda bila nauli.
Kufika mbele mbele yao, konda ananigongea chenchi. Mwamba niko siti ya mbele katikati nikaanza kujitafuta kutahamaki sina hata dusu arif. Nilipatwa na kijasho chembamba kama cha baharia alieshindwa swali UE af anataka achomoe kibomu katikati ya pepa.
Bahati nzuri kulikuwa na msamaria mwema pembeni nikamchana situation akaniokolea fedhea ile maana konda angenipaka choo sana siku ile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sikuamini nilivyoponyoka kwenye hiko kikombe na sitakaa nisahau.
Anapenda kulamba namkataza haskiiblue band ya nn kwenye ugali au kilainishi ?
au sio basi inampa utamu ndo maana hasikii. endelea kumlambisha tu anogeweAnapenda kulamba namkataza haskii
Me more[emoji7]
Na huyo mwana ulimwambiaje mlivyoonana? Kwa wanaume inaweza isiwe ishu kubwa ila kwa sie wa kikeni hiyo vita atakuja kuamua Yesu mwenyewe
Hahahahahahahahaha lol! Siku nyingine uwe unaikagua kwanza kabla ya kuweka mfukoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]