Toto Zembe
Member
- Jul 15, 2019
- 74
- 99
- Thread starter
-
- #41
Hahahhaha nmecheka kifala
Nime imagine ulivyokua unamtongoza konda ukiwa umepiga magoti [emoji28][emoji28]
Uachage kula nauli mzeeye
Duh,.na b'band juu😀halafu sijui kwanini hunenepagi wewe,loh!!!
mtt anapenda kulamba namkatazaga haskiiDuh,.na b'band juu😀halafu sijui kwanini hunenepagi wewe,loh!!!
Aibu si ndio fedheha yenyewe!!Daah,.bora aibu kuliko fedheha asee😂
hahaaaa asee huyo jamaaa alikuimarisha ujue!!Jamani wana jamii forum habari zenu? Kuna mkasa ulinikuta nikikumbuka nacheka sana[emoji2][emoji2].
Jumamosi moja niliamka ikiwa siku njema sana,ila ilipofika jioni mambo ayakuwa sawa,inshu yenyewe ilikuwa ivi,si unajua mishe za mjini hapa katika michakato ya kusaka tonge.
Basi nilitoka zangu home nikiwa na elfu tatu kwa jili ya nauli kwenda kazini na kuludi pamoja na kula,basi uko bajeti ilivulugika nikajikuta nimetumia hadi pesa ya nauli ya kuludia,basi jioni ilipo fika si nikagongea nauli kwa mwana basi mwana akanambia nimsubili kidogo basi jamaa alipo kuja akanifinyia noto lakini ela yenyewe alivo nipa alinipa kwa style ya kama tuna shake ands basi alivo nipa nikaitia mfukoni kwa fraha tele nikijua mambo ni [emoji106]sawa.
Basi nilivyo fika kwenye daladala nikakaa siti karibu na mrembo frani hivi,ilivyo fika mda wa kutoa nauli si nikatoa ile noti bwana bwana kumbe noti yenyewe kipande yaani ilikuwa imechanika imebaki kipande nilijuta kuzaliwa basi kama mnavyo wajua makonda na tabia zao alinikazia hadi ikawa noma mwisho wa siku mrembo akani save,tokea pale nilikaa kimya kama nimenyeshewa mvua.
Kwaiyo jamani tukipewa pesa na mhuni tuwe tunachunguza[emoji113][emoji113][emoji113]
Hivi kumbe huyu ndio MumuMumu ningekaa na wewe ungenilipia ?
[emoji28][emoji28][emoji28]huyo muhuni atunukiwe Docrine ya Heshima kwa niaba ya wahuni woteJamani wana JamiiForums habari zenu?
Kuna mkasa ulinikuta nikikumbuka nacheka sana[emoji2][emoji2].
Jumamosi moja niliamka ikiwa siku njema sana, ila ilipofika jioni mambo ayakuwa sawa, ishu yenyewe ilikuwa hivi: Si unajua mishe za mjini hapa katika michakato ya kusaka tonge.
Basi nilitoka zangu home nikiwa na elfu tatu kwa jili ya nauli kwenda kazini na kurudi pamoja na kula, basi uko bajeti ilivurugika nikajikuta nimetumia hadi pesa ya nauli ya kurudia. Basi jioni ilipofika si nikagongea nauli kwa mwana; basi mwana akanambia nimsubiri kidogo basi jamaa alipokuja akanifinyia noto lakini hela yenyewe alivonipa alinipa kwa style ya kama tuna shake hands. Basi alivonipa nikaitia mfukoni kwa furaha tele nikijua mambo ni [emoji106]sawa.
Basi nilivyo fika kwenye daladala nikakaa siti karibu na mrembo fulani hivi. Ilivyofika muda wa kutoa nauli si nikatoa ile noti bwana; bwana kumbe noti yenyewe kipande yaani ilikuwa imechanika imebaki kipande nilijuta kuzaliwa basi kama mnavyo wajua makonda na tabia zao alinikazia hadi ikawa noma mwisho wa siku mrembo akani save, tokea pale nilikaa kimya kama nimenyeshewa mvua.
Kwaiyo jamani tukipewa pesa na mhuni tuwe tunachunguza[emoji113][emoji113][emoji113]