genius mvivu
Senior Member
- Apr 19, 2019
- 156
- 275
Habari ndugu wana JF leo hii niko hapa kuilalamikia serikali na sekta zingine binafsi juu ya hela tunazokamuliwa watoto wa wakulima pindi tunapofanya maombi ya kazi na kufuatilia masuala ya usahili...mimi mwenyewe nikiwa muhanga wa kadhia hii nakumbuka mwaka juzi nikiwa mkoani yalitoka maombi ya kazi kujiunga na jeshi la polisi hivyo nikiwa kama mmoja wapo wenye sifa almost zote nilituma maombi kwa njia ya hard copy mpaka mkoani ambapo kutoka kijijini nakoishi mpaka mkoani nilitumia gharama ya 30000 kwa usafiri na 10000 kwa malazi kwa trip ya kwanza pekee.
Hatujakaa sawa tukaitwa kwa ajili ya interview kwa bahati mbaya baada ya kufika eneo la tukio tukaambiwa interview imeghairishwa ili kupisha maombi mapya...total n 80000 baadae ndo tukaitwa rasmi kwa ajili ya interview cha kushangaza tulikuja kutolew mwanzoni kabsa pasi na mahojiano mpaka kufikia saa nne asubuhi tuliambiwa hatuna vigezo hivyo turudi nyumbani daah kiasi cha almost 150000 napoteza kwa ajili ya usahili.. na bado hiyo hela bimkubwa alikopa coz nililuwa na expectation kubwa za kupat sabab nilikuwa na almost 90% ya vigezo walivyoweka.
SCENARIO 2:
Uombaji wa mikopo..katika uombaji wa mikopo mara nyingi hufanyika kabla ya matokeo kutoka na kuna ada ya almost elfu 30000 unatakiwa kulipa kwa loan board na gharama zingne lakini pia sio wote kati ya walioomba mkopa hupata sasa jee kwa walr ambao hawajapata na waliofeli hela zao zinaenda wapi kwanini wasirudishiwe.
my take ewe mtoto wa maskini mwenzangu ukiona ajira yoyote ambayo unaona unatumia gharama kubwa ambazo zinaweza kuathiri uchumi wenu kwa kipindi hiko tafadhari usiombe mara nyingi sana kwa TZ ya sasa kupata ajira bila connection ni ngumu sana kwenye taasisi nyingi zikitokea ajira wana watu wao maalum ambao wamewapanga weww mtoto wa peasant unaenda kama mpenzi mtazamaji.
NB: Nimeweka mada hii baada ya kuona tangazo la kazi la kukusanya maoni ya mchakato wa katiba ila unatakiwa utume ada ya shilingi elfu kumi na tano ndipo utume maombi huu ni utapeli kama utapeli mwingine shtuka ogopa matapeli