Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take: Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
 
Kama penzi lilikuwa zito kiasi cha kukaribisha umauti, mbona yeye hakufa? Alipataje mrejesho kuwa ni utamu uliopitiliza wakati mwenzie alishakatika? Je, akili yake ipo sawasawa kweli? Madaktari wanasemaje juu ya kifo cha huyo mpenzi wake?
 
[emoji28]
 
Maelezo hayajajitosheleza. Hilo penzi zito ndiyo likoje?
Je, alifika mshindo mara ngapi? Au alikuwa na matatizo mengine ya kiafya?
 
Bi Helena alizidisha mno sukari ya penzi, labda marehemu alitoa ahadi nono ndio maana akazidisha mautundu
 
Kama penzi lilikuwa zito kiasi cha kukaribisha umauti, mbona yeye hakufa? Alipataje mrejesho kuwa ni utamu uliopitiliza wakati mwenzie alishakatika? Je, akili yake ipo sawasawa kweli? Madaktari wanasemaje juu ya kifo cha huyo mpenzi wake?
Mpwa. Huyu Ni mzoefu anajua pale mwenza anapozidiwa na butamu.
Sio Kama msukuma ambae hata mwanamke hajaandaliwa vya kutosha anaparamiwa.
 
Back
Top Bottom