Dada aeleza Mahakama utamu wake kitandani ulivyomuua mpenzi wake

Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
Tupe kwanza mrejesho wa safari yako. Uliletewa pisi kali?
 
Kwani wewe unagegedwa? Tatizo la kuwa shabiki wa simba na mfuasi wa tototundu
 
Hiyo ya utamu mpk kufa naunga mkono hoja kabisa. Kuna siku nilimnyandua mtoto mmoja wa Migomigo alikuwa mtundu sana nakumbuka wakati naelekea kupizi alinibana bao likawa limeshatoka kendeni lakini aliwezi kutoka nje sijui alilizuiaje. Baadae aliliruhusu litoke baada ya mie kupiga makelele kama ng'ombe anayechinjwa. Bao lilipotoka ndio nikaona mapigo ya moyo yanaenda mara 3 zaidi ya kawaida huku jasho likinitoka mpk kwenye makalio achilia mbali unyayo.

Nahisi huyu marehemu alipitia changamoto kama ya kwangu ile yeye alikwenda na maji kabisa
 
Hongera kwa kutumia busara
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
 
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
Hahahaha
 
...Sasa kama Alicia juu ya kifua cha Bibie ilikuwaje Bibie akashitakiwa?
Nilikuwa na Alama yoyote kuonyesha nilikuwa na mchezo mchafu??
Ina maana hats huyu wa Juzi ambaye mzee wa miaka 70 alikufa kifuani, anasubiri Kesi ????[emoji848][emoji848]
 
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
Hahahaha
 
Dodoma. Mshtakiwa katika kesi ya mauaji ya mpenzi wake, Helena Sambo (52) ameieleza Mahakama Kuu Dodoma kuwa siku ya tukio walipeana penzi zito ambalo halijawahi kutokea tangu walipoanza uhusiano wa kimapenzi.

Mshtakiwa huyo alisema hayo katika utetezi wake kwenye kesi ya mauaji namba 160/2017 ambapo anadaiwa kumuua aliyekuwa mpenzi wake, Mussa Seiph Agosti 11 mwaka 2016.

Akiongozwa na Wakili wa Utetezi, Shedrack Mbunda, mshtakiwa aliieleza mahakama kuwa walianza uhusiano kuanzia mwaka 2013 walipokutana kwenye mnada wa Msisi uliopo kijiji cha Msisi wilayani Bahi.

My Take
Ndio maana mimi huwa naficha baadhi ya utundu wangu kunako ili kuepuka madhara kama haya
Acha fix zako huko,hakuna utamu unaoweza kumuuwa mwanaume! Wengi wao ni ma Viagra ndiyo yanawadondosha kwa sababu wanakua na Maradhi ya pressure!!
 
Aisee, inzi alifia kidondani! Literally🤔

Sasa shahidi wa utamu kafa! Hakuna kesi!

Everyday is Saturday.............................😎
 
Back
Top Bottom