mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma...
Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda.
Yaani unamtelekeza mtu na hela na simu unamuibia,lazima tuitwe mbwa