jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
- Thread starter
-
- #41
Hawa wanawake saa nyingine wana akili mbovu sana mdogo wa mke wa kaka yangu aliwahi kuniganda hadi akadai atajiua iwapo nikikataa kabinti chenyewe n kadogo masikini yani kashangaa sana. Nilicho kifanya ni kumtonya jamaa yangu mmoja yeye hakulembesha. sasahivi kakiniona kananidharau lakini kwangu naona bora kudharauliwa kuliko aibu endapo wazazi wake na shem wengejua kwa jinsi wanavo niheshimu ningeweka wapi sura yangu.
kataa mkuu usikubali hiyo aibu kabisaa.
Big upInawezekana tena sana, ni kujiheshimu na kujitunza ndio siri. Mm nilikaa nayo mpaka naolewa.
Eb npe namba zakeNina dada (upande wa mama mkubwa) ana miaka 22 mpaka leo hajawai kuwa na mwanaume yeyote sababu anazosema anataka mimi ndie nimtoe bikra yake.
Nifanye nini ndugu zangu?
Kwanza inakuaje mpaka mnafika kuyaongea hayo na dada yako?Una maanisha mtoto wa mamako mkubwa ? Mamako na mamake wamezaliwa familia moja.Omba Mungu akuepushe na hilo hata sheria za nchi zinakataza achilia za dini yoyote ile.huyo ni dadako na mumwambie akatafute mume kabisa aolewe.inaonekana mnaishi nyumba moja kubwa yenye ndugu tofauti tofauti ndan
si ulioba ushauri lakini? ndo unapewa sasa.Ushauri wako doh! nitaufikiria
Wapo mkuu.. Mie nishakumbana nao wawili.. Mmoja alikuwa 23, mwingine 25 net..Tanzania hii hakuna msichana mwenye umri kama huo ambaye ni bikira...
Inabidi huyo dada tumpeleke pale makumbusho ya Taifa...
Aisee....Wapo mkuu.. Mie nishakumbana nao wawili.. Mmoja alikuwa 23, mwingine 25 net..
Simu zipo,even tukitoka kwenda kukutana as family memberKwanza inakuaje mpaka mnafika kuyaongea hayo na dada yako?
.Kwani kuna tatizo gani kwa yeye kuwa bikra? Halafu huyo ni dadako.
Ni ushauri piaDada yako!!! Mie dada yangu niliyezaliwa nae mama mmoja tu, mtoto wa shangazi mamdogo, mamkubwa, mjomba sijui, hawez kuwa dada yangu.. We tafuna tu..
Changanya akili ya kuelezwa na za kwako..