Dada anataka nimtoe bikira yake

Dada anataka nimtoe bikira yake

Hawa wanawake saa nyingine wana akili mbovu sana mdogo wa mke wa kaka yangu aliwahi kuniganda hadi akadai atajiua iwapo nikikataa kabinti chenyewe n kadogo masikini yani kashangaa sana. Nilicho kifanya ni kumtonya jamaa yangu mmoja yeye hakulembesha. sasahivi kakiniona kananidharau lakini kwangu naona bora kudharauliwa kuliko aibu endapo wazazi wake na shem wengejua kwa jinsi wanavo niheshimu ningeweka wapi sura yangu.

kataa mkuu usikubali hiyo aibu kabisaa.
Inawezekana tena sana, ni kujiheshimu na kujitunza ndio siri. Mm nilikaa nayo mpaka naolewa.
Big up
 
Hadi unakuja JF kuomba ushauri ni uzembe uliopitiliza. Kaomba game mwenyewe...unahofia nn kuicheza? Au una matatizo ya kimaumbile?
 
Una maanisha mtoto wa mamako mkubwa ? Mamako na mamake wamezaliwa familia moja.Omba Mungu akuepushe na hilo hata sheria za nchi zinakataza achilia za dini yoyote ile.huyo ni dadako na mumwambie akatafute mume kabisa aolewe.inaonekana mnaishi nyumba moja kubwa yenye ndugu tofauti tofauti ndan
 
Kwanza inakuaje mpaka mnafika kuyaongea hayo na dada yako?
 
Mimi nina cheti cha kutoa bikira, nipe namba zake nimpe huduma bila malipo.
 
Dada yako!!! Mie dada yangu niliyezaliwa nae mama mmoja tu, mtoto wa shangazi mamdogo, mamkubwa, mjomba sijui, hawez kuwa dada yangu.. We tafuna tu..

Changanya akili ya kuelezwa na za kwako..
 
Dada yako!!! Mie dada yangu niliyezaliwa nae mama mmoja tu, mtoto wa shangazi mamdogo, mamkubwa, mjomba sijui, hawez kuwa dada yangu.. We tafuna tu..

Changanya akili ya kuelezwa na za kwako..
Ni ushauri pia
 
Back
Top Bottom