jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
- Thread starter
- #41
Hawa wanawake saa nyingine wana akili mbovu sana mdogo wa mke wa kaka yangu aliwahi kuniganda hadi akadai atajiua iwapo nikikataa kabinti chenyewe n kadogo masikini yani kashangaa sana. Nilicho kifanya ni kumtonya jamaa yangu mmoja yeye hakulembesha. sasahivi kakiniona kananidharau lakini kwangu naona bora kudharauliwa kuliko aibu endapo wazazi wake na shem wengejua kwa jinsi wanavo niheshimu ningeweka wapi sura yangu.
kataa mkuu usikubali hiyo aibu kabisaa.
Big upInawezekana tena sana, ni kujiheshimu na kujitunza ndio siri. Mm nilikaa nayo mpaka naolewa.