Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Watu kama hao wangekuwa na upekee kama anaouona mleta mada wangegombaniwa na vigogo wakubwa tu. Ni wa kawaida sana japo ni ngumu kukubali. Ukikutana nao live utajua kwamba picha zinadanganya.Usicho kijua sawasawa na usiku wa giza mkuu tafuta unaemfahamu uko kwenu ova.