Dada anayetangaza pamoja na Sami Missago kwenye enewz ya eatv ni shida

Dada anayetangaza pamoja na Sami Missago kwenye enewz ya eatv ni shida

Center hovyo ni nje tu..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji20] [emoji20]
 
huwa kama anamtamani vile na udenda humtoka....
[emoji23][emoji23][emoji23] ushamuona mkuu...hata kamera man hua anamshtukiaaga kwaio jamaa akianza kumuangalia flan kama anamtaman bas kamera man hua anazoom in kwa bidada ..
 
Nilimuona,nikaenda fasta kwenye reception alafu fasta nkabadili channel |-O
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ushamuona mkuu...hata kamera man hua anamshtukiaaga kwaio jamaa akianza kumuangalia flan kama anamtaman bas kamera man hua anazoom in kwa bidada ..
Sami missago anamtoaga udenda uyu dada maana macho huwa hayaishagi kwenye ch****@
 
Usijali..wanaume haiba yetu kusifia vile vinavyotuvutia.

Hata wewe najua wapo wanaokusifia hapo mtaani kwenu
Hata hapa mimi mamsifia aana sema hajahindua tu, kwa kupitia uzi huu maomba atambue kwamba nina mmind kichizi.
 
Back
Top Bottom