Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Watu kama hao wangekuwa na upekee kama anaouona mleta mada wangegombaniwa na vigogo wakubwa tu. Ni wa kawaida sana japo ni ngumu kukubali. Ukikutana nao live utajua kwamba picha zinadanganya.Usicho kijua sawasawa na usiku wa giza mkuu tafuta unaemfahamu uko kwenu ova.
Huyu mtoto wa kikenya anahusikaje hapa?Kama alivyopewa JOYCE MNKYA?
-picha nzuri ila hazitoshi
.Na ile aliyepost mleta uzi imepotea
*Mkuu huyu anatumia jina gani insta
huwa kama anamtamani vile na udenda humtoka....Sam missago nae chizi namuonaga anavomuangaliaga mtoto yule
Anatumia jina gani Instammmmmmh
*Shukran sana mkuusuzie_bern
A u crazyI must fk her
[emoji23][emoji23][emoji23] ushamuona mkuu...hata kamera man hua anamshtukiaaga kwaio jamaa akianza kumuangalia flan kama anamtaman bas kamera man hua anazoom in kwa bidada ..huwa kama anamtamani vile na udenda humtoka....
Sami missago anamtoaga udenda uyu dada maana macho huwa hayaishagi kwenye ch****@[emoji23][emoji23][emoji23] ushamuona mkuu...hata kamera man hua anamshtukiaaga kwaio jamaa akianza kumuangalia flan kama anamtaman bas kamera man hua anazoom in kwa bidada ..
Vipi mkuuAnavile vitu napendaga
Uzuri gani huo na minywele bandia kama mdoli?uZURI na ubaya wa mtu upo machoni mwa mtu...binafsi sijaona ubaya wake..
Hata hapa mimi mamsifia aana sema hajahindua tu, kwa kupitia uzi huu maomba atambue kwamba nina mmind kichizi.Usijali..wanaume haiba yetu kusifia vile vinavyotuvutia.
Hata wewe najua wapo wanaokusifia hapo mtaani kwenu