Mkuu unakipaji cha kushukuru asee...[emoji2] [emoji2] [emoji2]*Shukran sana mkuu
*Ubarikiwe sana mkuu
*Mungu akupe afya
*Mungu akujaalie uzima
*Akuepushe na maradhi
*Akujaalie familia bora
*Kila aliekudhamiria mabaya yasikupate
*Akufungulie rizki zako akufanyie wepesi
Yuko vzuri kila sector hasa kwenye utangazaji ana sauti nzuriHata mm nampenda sana huyu Dada, napenda utangazaji wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
Eatv nao mbona wamemuiba alikuw kule tv1 kipind cha waremboNilichogundua EATV katika kuibua vipaji bora vya watangazaji ni balaaa ..
Kuna TV na Redio moja kazi yao kubwa ni kuiba watangazaji wa EATV
kuna siku nulimuotea alikua ana mhug sam daah kamera ikammulika mgongo aisee ni balaa kubwa lile dooh wanaume tuna shida braza hawa dada zetu mitihani...Jaman mwenye namba za uyu demu anaetangaza kipindi cha enewz cha eatv anipe jaman nijaribu bahati kwa kweli ananivutia sana kwa umbo lake mashallaaaah bonge moja la chu****a
Mwenye picha zake zaidi
View attachment 432211
Lolcomment yako imenicheesha kweli? nilikua na wazo kama hilo!
*Shukran sana mkuu
*Ubarikiwe sana mkuu
*Mungu akupe afya
*Mungu akujaalie uzima
*Akuepushe na maradhi
*Akujaalie familia bora
*Kila aliekudhamiria mabaya yasikupate
*Akufungulie rizki zako akufanyie wepesi
[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Mkuu leo imekuaje unamuombea heri huyu mpiga debe wa ccm , umeniangusha sana[emoji3] [emoji3]
Kwamba tuna uchu sana au???Nilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
Mimi nitoe Mama nisharizika na ka pasi kako tuNilitaka kushangaa habari kuhusu yeye haijafika huku hadi leo.
Hawa ndio wanaume zetu [emoji17]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hii ndio quote pekee niliyoijibu ktk huu uzi,nimecheka mpaka kichwa kinauma.Mimi nitoe Mama nisharizika na ka pasi kako tu
Kanabebwa na Inye lakini kwa sura kabaya aiseh.
kweli mkuu usoni yuko kama panya