Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 3,972
- 5,170
Mkuu unakipaji cha kushukuru asee...[emoji2] [emoji2] [emoji2]*Shukran sana mkuu
*Ubarikiwe sana mkuu
*Mungu akupe afya
*Mungu akujaalie uzima
*Akuepushe na maradhi
*Akujaalie familia bora
*Kila aliekudhamiria mabaya yasikupate
*Akufungulie rizki zako akufanyie wepesi