Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm ngoja waje wajilengeshe nitakachokuja kufanya mpaka Reuters watalipotiNilishawahi kupanda daladala tunatoka kawe nimekaa Siti moja ya nyuma kabisa na muhindi,punde akatoa simu akaanza kuangalia porn tena sauti ya mwanamke akigulia utamu ipo juu sn. Watu wakaishia kumwangalia na kupotezea lkn yeye hakujali
Sijui wanatuchukuliaje hawa jamaa Sisi watu weusi,ni watu wa hovyo sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Ndugu Kosa langu liko wapi hapoMwambie akafanye kazi South Africa kwa waafrika wenzake,huko hatanyanyasika,
Jinsi ulivyoiwasilisha mada yako inaonekana hata wewe ni mbaguzi pia,
Kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,ila wewe umelaumu jamiii nzima na kutoa hitimisho!
"Napinga ubaguzi wa aina yeyote ile unaofanywa na race yeyote ile,haijalishi dini ya muhusika au rangi yake ya ngozi"
Kwanini usimshauri aiache hiyo kazi akauze hata maandazi mbona pesa ataipata tuu.!!Samahani kwa kutokusalimia. Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta nilipoenda kumtembelea Dada angu na kukuta wanamnyanyasa na kumpa kipolo cha wali wa kwenye friji wao wanakula cha siku hiyo kikiwa cha moto na mpishi ni dada angu ila kula chakula kilichopikwa siku hiyo hatakiwi, sio taratibu ni sheria.
Sasa Jana nilienda kumuona tena upanga, nilichokikuta sikuamini macho yangu mpaka nilipovua miwani ndipo nikajua haikuwa illusion Bali ni ukweli wa macho ya nyama. Nikifika saa saba mchana akanipokea nikakaa sebleni, nilipofika nilimkuta yeye na wakaka flani ni wahindi lakini cha ajabu niliposalimia hawakupokea wao wakawa busy kuangalia movie kwenye laptop, nikajua hawajaskia nikasalimia tena kwa sauti nikaona wamenitazama ila ni mmoja tu akapokea salamu kwa tabu sana tena sauti ya chini ila kwa kuwa sio jambo geni Kwangu sikujali.
Ajabu nilichokiona Kuna watoto walitoka shuleni kuingia tu nikaona mmoja kaenda kwa Dada bila kunisalimia akaanza kumshika matiti mwingine wa pili akijalibu kumkatia kiuno huku akiguniza ashiii ashiii ashiiit, nikajisemea huu upuuzi siwezi kuuvumilia, nikawaambia kuweni na adabu lakini cha ajabu mmoja akaenda kumsukuma kichwa Dada angu akisema tumiminie Chai hujui tumetoka shule tuna njaa?. Wale waliokuwa wanaangalia movie wakaingia ndani huku wakilalama kwa lugha zao wakuonesha kukwazika kwa uwepo wangu.
Dakika tano baadae akaingia mama mwenye nyumba kwa mjibu wa Dada angu alivoniambia, alipoingia nilisalimia lakini hakupokea ila akamwambia Dada angu tutoke ndani twende nje anataka apumzike sebleni. Nilijiskia huzuni kuona hawasamini wageni wa mfanyakazi na wanatutreat kama wanyama ilihali wao ni wahindi na sisi ni watanzania wazawa wenye nchi yetu.
USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani kwa wahindi mnatafuta nini jamani [emoji22]. View attachment 2237822
Mwambie akafanye kazi South Africa kwa waafrika wenzake,huko hatanyanyasika,
Jinsi ulivyoiwasilisha mada yako inaonekana hata wewe ni mbaguzi pia,
Kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,ila wewe umelaumu jamiii nzima na kutoa hitimisho!
"Napinga ubaguzi wa aina yeyote ile unaofanywa na race yeyote ile,haijalishi dini ya muhusika au rangi yake ya ngozi"
USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani kwa wahindi mnatafuta nini jamani.![]()
Lengo la hii thd ni kueneza chuki tu,hiyo story ni ya kutunga,unaweza kukuta mleta mada kafanya msala kwa wadosi wakamfukuza kazi,akaamua kusambaza chuki dhidi ya wahindi,Mbona hueleweki!! Mara wahindi mara waarabu,, kwahiyo huyo mfanyakazi/dada yako alikua anabinywa maziwa na waarabu pia? Na sio wahindi tu!!!
Dah [emoji22] Africa yetu sijui ikoje jamani yani still hawa ngozi nyeupe wanapewa utetezi tu ilihali wanatunyanyasa na kudisrespect our dignityLengo la hii thd ni kueneza chuki tu,hiyo story ni ya kutunga,unaweza kukuta mleta mada kafanya msala kwa wadosi wakamfukuza kazi,akaamua kusambaza chuki dhidi ya wahindi,
Wadada wa kazi wangapi wamenyanyaswa na waafrika wenzao? wengine mpaka wamechomwa moto mikono.
Sina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..
Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo
NOOO Waafrika tunabaguliwa na kila mtu mpaka sisi wenyewe tunabaguanaHivi kuna wabaguzi duniani kama wabantu na wahindi? Ila some of them wajitambua.
Kuhusu wazungu, wazungu wanakuthamini wewe? Labda wachache sana. Umefikia Mpaka kuitwa Sokwe na kutupiwa miganda ya ndizi halafu unasema bora wale wakoni zetu!!
Nitaendelea kuwasifu sana waarabu, wale jamaa wana ustaarabu, utu, imani, ukarimu kama kawaida yao hao jamaa. Kwakweli wamebarikiwa sana. Umeharibikiwa gari lako njiani atasimama akusaidie kwa hali yoyote, hapiti bila kukusalimu awe kwa miguu ama kwa gari ASSALAAM ALAIKUM/HABARI ZENU!
Wabantu na wahindi ni wale wale tu, some of them ndio wanajitambua,
Lengo la hii thd ni kueneza chuki tu,hiyo story ni ya kutunga,unaweza kukuta mleta mada kafanya msala kwa wadosi wakamfukuza kazi,akaamua kusambaza chuki dhidi ya wahindi,
Wadada wa kazi wangapi wamenyanyaswa na waafrika wenzao? wengine mpaka wamechomwa moto mikono.
NOOO Waafrika tinabaguliwa na kila mtu mpaka sisi wenyewe tunabaguana
Pamoja sana mkuu.Lkn pole.Sawa Asante kwa ushauri
Ww Utakuwa umezalishwa na mwarabuHivi kuna wabaguzi duniani kama wabantu na wahindi? Ila some of them wajitambua.
Kuhusu wazungu, wazungu wanakuthamini wewe? Labda wachache sana. Umefikia Mpaka kuitwa Sokwe na kutupiwa miganda ya ndizi halafu unasema bora wale wakoni zetu!!
Nitaendelea kuwasifu sana waarabu, wale jamaa wana ustaarabu, utu, imani, ukarimu kama kawaida yao hao jamaa. Kwakweli wamebarikiwa sana. Umeharibikiwa gari lako njiani atasimama akusaidie kwa hali yoyote, hapiti bila kukusalimu awe kwa miguu ama kwa gari ASSALAAM ALAIKUM/HABARI ZENU!
Wabantu na wahindi ni wale wale tu, some of them ndio wanajitambua,