NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
bila picha haina maana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua sana kupika tena sana, ana miaka 17Ana ujuzi gani pia umri wake kama hutojali
Dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sasa mkuu sisi tunasubiri uendelee na stori yako kumbe we umeenda kwa dada upanga
Pole sanaAnajua sana kupika tena sana, ana miaka 17
Ww Utakuwa umezalishwa na mwarabu
Bado ni mdogo, angekua 20's labdaAnajua sana kupika tena sana, ana miaka 17
Hapana ila ni moja ya watu tu wasiojielewa
Buddha, Hinduism, Islamic
Ni waislam unafikiri Kuna dini ya kibaguzi duniani zaidi ya hii
Huyu jamaa hana pa kuishi huyu ni chokoraa wale wanaotembeza kahawa na kulala kwenye korido. Sasa ona na dada yake majanga anayoyapata.Sasa mkuu sisi tunasubiri uendelee na stori yako kumbe we umeenda kwa dada upanga
Kuongea ukweli nao ni ubaguzi?, nikisema wakristo wanakula kitimoto sio ubaguzi ni ukweliSi unaona sasa, unawasema wahindi ni wabaguzi. Ona hiki ulichoandika.
Wewe ni mbaguzi na ni mdini vile vile. Pole sana
kazini kwake unakwenda kufanya nini?Samahani kwa kutokusalimia. Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta nilipoenda kumtembelea Dada angu na kukuta wanamnyanyasa na kumpa kipolo cha wali wa kwenye friji wao wanakula cha siku hiyo kikiwa cha moto na mpishi ni dada angu ila kula chakula kilichopikwa siku hiyo hatakiwi, sio taratibu ni sheria.
Sasa Jana nilienda kumuona tena upanga, nilichokikuta sikuamini macho yangu mpaka nilipovua miwani ndipo nikajua haikuwa illusion Bali ni ukweli wa macho ya nyama. Nikifika saa saba mchana akanipokea nikakaa sebleni, nilipofika nilimkuta yeye na wakaka flani ni wahindi lakini cha ajabu niliposalimia hawakupokea wao wakawa busy kuangalia movie kwenye laptop, nikajua hawajaskia nikasalimia tena kwa sauti nikaona wamenitazama ila ni mmoja tu akapokea salamu kwa tabu sana tena sauti ya chini ila kwa kuwa sio jambo geni Kwangu sikujali.
Ajabu nilichokiona Kuna watoto walitoka shuleni kuingia tu nikaona mmoja kaenda kwa Dada bila kunisalimia akaanza kumshika matiti mwingine wa pili akijalibu kumkatia kiuno huku akiguniza ashiii ashiii ashiiit, nikajisemea huu upuuzi siwezi kuuvumilia, nikawaambia kuweni na adabu lakini cha ajabu mmoja akaenda kumsukuma kichwa Dada angu akisema tumiminie Chai hujui tumetoka shule tuna njaa?. Wale waliokuwa wanaangalia movie wakaingia ndani huku wakilalama kwa lugha zao wakuonesha kukwazika kwa uwepo wangu.
Dakika tano baadae akaingia mama mwenye nyumba kwa mjibu wa Dada angu alivoniambia, alipoingia nilisalimia lakini hakupokea ila akamwambia Dada angu tutoke ndani twende nje anataka apumzike sebleni. Nilijiskia huzuni kuona hawasamini wageni wa mfanyakazi na wanatutreat kama wanyama ilihali wao ni wahindi na sisi ni watanzania wazawa wenye nchi yetu.
USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani kwa wahindi mnatafuta nini jamani [emoji22]. View attachment 2237822
Kule kuna bahasha,na mswahili mbele ya pesa ni mkate.Huoni kajala zuga zuga we kashindwa kuacha pesa za bure za kondeboyaPole sana Ndugu,ila kwa kitu kama hicho unaweza hata record kupata ushahidi,unafungua kesi mahakamani,Huo ni unyanyasaji tu kama unyanyasaji mwingine..
Na anaweza lipwa,hapa pia ndio napoonaga pagumu kwa hivi vyama vya HAKI ZA BINADAMU (HRW),Wamekalia siasa tu,wakiingia kwa wafanyakazi humo kuna matatizo makubwa sana..