Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Hao wanaodhalilishwa hawajitambui,mimi unufanyie mambi ya ajabu huku mimi ndo nawalea hapo,ntawalisha sumu mpka akili ziwakae sawa.
Malizia then unaozea jela.
 
Tafiti zako umefanya kwa wahindi na waarabu wote kwamba wananyanyasa watu? Kama ni wote sawa. Lakini kumbuka kuna wengine wapo peponi huko mwaka wa kumi wanaishi kwa amani na upendo, wamepata familia zinazoijua dini. Na maendeleo home wanafanya na likizo wanapewa.
Unyanyasi ni tabia binafsi na sio ya jumla. Ukiona una nyanyasika umeridhia, si utafute boss mwingine?
Wote ni wabaguzi period
 
Uzi wako huu umeuleta tena.
 
Samahani kwa kutokusalimia. Nipo katika tafakuri nzito yenye sonono ndani ya moyo wangu, binafsi nikionaga mwafrika ananyanyasika ndani ya nchi yake moyo wangu huwa unalipuka na kukosa amani kabisa. Kama mna kumbukumbu kuna siku niliwahi kutoa thread kulaani na kulalamika kwa nilichokikuta nilipoenda kumtembelea Dada angu na kukuta wanamnyanyasa na kumpa kipolo cha wali wa kwenye friji wao wanakula cha siku hiyo kikiwa cha moto na mpishi ni dada angu ila kula chakula kilichopikwa siku hiyo hatakiwi, sio taratibu ni sheria.

Sasa Jana nilienda kumuona tena upanga, nilichokikuta sikuamini macho yangu mpaka nilipovua miwani ndipo nikajua haikuwa illusion Bali ni ukweli wa macho ya nyama. Nikifika saa saba mchana akanipokea nikakaa sebleni, nilipofika nilimkuta yeye na wakaka flani ni wahindi lakini cha ajabu niliposalimia hawakupokea wao wakawa busy kuangalia movie kwenye laptop, nikajua hawajaskia nikasalimia tena kwa sauti nikaona wamenitazama ila ni mmoja tu akapokea salamu kwa tabu sana tena sauti ya chini ila kwa kuwa sio jambo geni Kwangu sikujali.

Ajabu nilichokiona Kuna watoto walitoka shuleni kuingia tu nikaona mmoja kaenda kwa Dada bila kunisalimia akaanza kumshika matiti mwingine wa pili akijalibu kumkatia kiuno huku akiguniza ashiii ashiii ashiiit, nikajisemea huu upuuzi siwezi kuuvumilia, nikawaambia kuweni na adabu lakini cha ajabu mmoja akaenda kumsukuma kichwa Dada angu akisema tumiminie Chai hujui tumetoka shule tuna njaa?. Wale waliokuwa wanaangalia movie wakaingia ndani huku wakilalama kwa lugha zao wakuonesha kukwazika kwa uwepo wangu.

Dakika tano baadae akaingia mama mwenye nyumba kwa mjibu wa Dada angu alivoniambia, alipoingia nilisalimia lakini hakupokea ila akamwambia Dada angu tutoke ndani twende nje anataka apumzike sebleni. Nilijiskia huzuni kuona hawasamini wageni wa mfanyakazi na wanatutreat kama wanyama ilihali wao ni wahindi na sisi ni watanzania wazawa wenye nchi yetu.

USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani kwa wahindi mnatafuta nini jamani [emoji22]. View attachment 2237822
Pambav zako
 
Hao wahindi wenyewe wanawabagua wahindi weusi yaani uko India wahindi weusi wanaonekana takataka tu kwa wahindi wenzao
 
USHAURI : Dada zangu napiga magoti kuwaomba msije kwenda nchi yoyote ya kiarabu au kwa wahindi kule utaishi kama mnyama, please kama ni kazi tafuta ndani ya Africa our motherland. Africa ni nzuri yenye uadilifu mkubwa na upendo ni Bara lenye bahari, maziwa, mito, mabwawa, milima, mabonde, mazao ya kutosha, ardhi yenye rutba na mifugo ya kila aina, Madini ya kutosha, our Africa is blessed jamani...
Wacha uzushi wewe hata hapa Tz tu kuna wafanyakazi kibao hamuwalipi mishahara na munawanyanyasa sana tu huko majumbani mwenu. Tena wengine mpaka munawachoma na pasi za moto.

Humu kwenye jf kuna vijana kila leo wanakuja kujisifu na uhusiano wao na mahouse girl (sijui ndiyo munaita beki tatu?). Jee huo siyo unyanyasaji?

Unyanyasaji upo kwa jamii zote na ni tabia isiyokubalika hata kidogo.

Hata mimi mwenyewe sipendi eti kila siku kaka umekuja kutoa uso pale kwangu umekuja kusalimia, what for?
 
Nipike mimi niambiwe nile kiporo? Nashibia jikoni kabla hakijaiva. Masikini, wahindi hawajui umuhimu wa mpishi, siku akiwafanyizia mtatamani ardhi ipasuke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom