Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Hii taarifa mbona kama ngumu hivi.

Kwamba umeenda kumsalimia Dada yako kwa Muajiri wake?...mbona rahisi ingekuwa ni yeye kutoka kuja kukusalimia wewe unapoishi?.

Kwa hiyo hao Watoto walimshika mbele yenu nyie mliokuwa hapo sebuleni?.
Ndio walimshika matiti na mm nikiwepo mkuu
 
Kuna binti mmoja alikuwa anafanya kwa muhindi mmoja pale Morogoro hata vyoo hakuna kushare nao kula hadi wao wale washibe
 
Una moyo wa Plastic Bro. Nina Uhakika huyo sio dada yako!! Nadhani hao wahindi Wangeenda kuhadithiana huko Bollywood.
 
Una moyo wa Plastic Bro. Nina Uhakika huyo sio dada yako!! Nadhani hao wahindi Wangeenda kuhadithiana huko Bollywood.
Ni dada angu wa damu kabisa ila nawalia timing siku wafanye upuuzi either wampige au wamchome vidole hapo nadhani nitakachoenda kufanya mpaka BBC na CNN international watalipoti
 
JF kwa sasa imeekua ya hovyo kama makada wa Ccm.Mtu anasimulia kilicho mtokea we unapinga wakati hukuwepo huo ni upumbavu mkuuuu.
 
JF kwa sasa imeekua ya hovyo kama makada wa Ccm.Mtu anasimulia kilicho mtokea we unapinga wakati hukuwepo huo ni upumbavu mkuuuu.
Achana nao mkuu ila hii hali ikizidi mm naondoka nibaki Sina mtandao maana hata nikienda Twitter nawakuta wakina baba Levo na mwijaku
 
Siwatetei lakini unyanyasaji wa watu wa kada za chini upo kila sehemu, wadada wa kazi wanaonewa katika nyumba nyingi sio za Wahindi peke yake. Kama tunashindwa kuwaheshimu wafanyakazi wa bar... tofauti yetu ni ni na hao wahindi?
 
Sasa kama ume shindwa kumtoa uyo dada ako apo upanga tu .una washauri wanao enda njee ya nchi nini
 
Back
Top Bottom