Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Siwatetei lakini unyanyasaji wa watu wa kada za chini upo kila sehemu, wadada wa kazi wanaonewa katika nyumba nyingi sio za Wahindi peke yake. Kama tunashindwa kuwaheshimu wafanyakazi wa bar... tofauti yetu ni ni na hao wahindi?
Hujielewi wewe
 
Mtafutie kazi nyingine dada yako, sio kila siku unakuja kulilia hapa; mara wanampa chakula cha jana, mara wanamshika matiti.
Wale wajinga dah yan had watoto wanashika nyonyo za dada dah yan mbaya sana
 
Ndio ni lazima
Hapana ndugu hapo umekosea hatakama kuna umaskini lazma aweke malengo ikifika wakati asepe hapo udhqliloshaji siyo poa utu ni bora zaidi .... nahisi ukiwa hupo hao wahindi nahisi wanamfanyia mambo mabaya zaidi ya uliyo yaona japo sista anakausha tu
 
Hapana ila ni moja ya watu tu wasiojielewa
Wangekua hawajielewi nchi zao zingekua na utajiri walio nao? ingekua hawajielewi wangeitumia natural resource ya mafuta kujenga nchi zao?

Mimi naona wewe ndio hujielewi,mara ulalamikie Wahindi,mara ulalamikie Waarabu!
Tafuta hela upunguze makasiriko yasiyokua na maana.
 
mpwayungu village mzee story yako ile ya kwenda lindi,kulala porini,vibaka,samaki wa mama,mwalimu na binti wa watu
Malizia basi au umepoteza kumbukumbu [emoji16][emoji16]
 
Inasikitisha
Mkuu hii nayo ikiitwa chai yule jamaa atakasirika kwel?
Yan mbongo ukaingie ndani kwa muhindi kumtembelea kisa dada yako anafanya kazi huko..hao wahind tu wa dar wafanya kazi huw ni w per day hawakaagi na mtu kwenye apartment zao space ni limited..

Hii chai bwana
 
Sina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..

Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo
Ongezea na michina. Hizo ndude zote zisikiage tu. Wazungu wako smart sana
 
Kwa uzi huu,kwa kusoma heading tu,huoni km na wewe unamdhalilisha dada yako??. Kulikuwa na sababu gani hadi kusema kabisa kuwa anashikwa sehemu za siri??.Ungesema tu kuwa anadhalilishwa ingetosha Mkuu,Watu wazima tunakuwa tayari tumeshaelewa.
Unamjua huyo dada ake au kaweka picha yake ndo useme kamdhalilisha
 
R KELLY ni mhindi? ANSEL ELGORT ni mchina? BILL COSBY ni mwarabu?
 
Hilo suala limeenea karibu ulimwengu mzima, si suala la jamii fulani tu

Hata kwa hapa kwetu Afrika hilo lipo na tena ni mashuhuri mno eg. kwenye majumba yetu "watoto wa kiume & baba zao" huwa wanawafanya nini wafanyakazi wa ndani? Au kwa wewe huu si unyanyasaji hadi afanyiwe dada yako tu?

Ukitaka kummulika nyoka anzia kwenye miguu yako

#Kemea na piga vita aina zote za unyanyasaji
 
Hilo suala limeenea karibu ulimwengu mzima, si suala la jamii fulani tu

Hata kwa hapa kwetu Afrika hilo lipo na tena ni mashuhuri mno eg. kwenye majumba yetu "watoto wa kiume & baba zao" huwa wanawafanya nini wafanyakazi wa ndani? Au kwa wewe huu si unyanyasaji hadi afanyiwe dada yako tu?

Ukitaka kummulika nyoka anzia kwenye miguu yako

#Kemea na piga vita aina zote za unyanyasaji
Chungu ila inaponya
 
Back
Top Bottom