Dada angu anafanya kazi kwa wahindi, ananyanyaswa na kushikwa sehemu za siri

Mwambie akafanye kazi South Africa kwa waafrika wenzake,huko hatanyanyasika,
Jinsi ulivyoiwasilisha mada yako inaonekana hata wewe ni mbaguzi pia,
Kila jamii ina watu wazuri na watu wabaya,ila wewe umelaumu jamiii nzima na kutoa hitimisho!

"Napinga ubaguzi wa aina yeyote ile unaofanywa na race yeyote ile,haijalishi dini ya muhusika au rangi yake ya ngozi"
 
Mm ngoja waje wajilengeshe nitakachokuja kufanya mpaka Reuters watalipoti
 
Ndugu Kosa langu liko wapi hapo
 
Kwanini usimshauri aiache hiyo kazi akauze hata maandazi mbona pesa ataipata tuu.!!
 

Tena sauzi watamuuwa kabisa,
 

Mbona hueleweki!! Mara wahindi mara waarabu,, kwahiyo huyo mfanyakazi/dada yako alikua anabinywa maziwa na waarabu pia? Na sio wahindi tu!!!
 
Mbona hueleweki!! Mara wahindi mara waarabu,, kwahiyo huyo mfanyakazi/dada yako alikua anabinywa maziwa na waarabu pia? Na sio wahindi tu!!!
Lengo la hii thd ni kueneza chuki tu,hiyo story ni ya kutunga,unaweza kukuta mleta mada kafanya msala kwa wadosi wakamfukuza kazi,akaamua kusambaza chuki dhidi ya wahindi,

Wadada wa kazi wangapi wamenyanyaswa na waafrika wenzao? wengine mpaka wamechomwa moto mikono.
 
Dah [emoji22] Africa yetu sijui ikoje jamani yani still hawa ngozi nyeupe wanapewa utetezi tu ilihali wanatunyanyasa na kudisrespect our dignity
 
Sina ndugu, jamaa hata rafiki na hao viumbe sijui nyarabu, hindi ni wapuuzi na wapumbvu..

Bora wale wakoloni zetu waingereza hawanaga ujinga huo

Hivi kuna wabaguzi duniani kama wabantu na wahindi? Ila some of them wajitambua.

Kuhusu wazungu, wazungu wanakuthamini wewe? Labda wachache sana. Umefikia Mpaka kuitwa Sokwe na kutupiwa miganda ya ndizi halafu unasema bora wale wakoni zetu!!

Nitaendelea kuwasifu sana waarabu, wale jamaa wana ustaarabu, utu, imani, ukarimu kama kawaida yao hao jamaa. Kwakweli wamebarikiwa sana. Umeharibikiwa gari lako njiani atasimama akusaidie kwa hali yoyote, hapiti bila kukusalimu awe kwa miguu ama kwa gari ASSALAAM ALAIKUM/HABARI ZENU!

Wabantu na wahindi ni wale wale tu, some of them ndio wanajitambua,
 
NOOO Waafrika tunabaguliwa na kila mtu mpaka sisi wenyewe tunabaguana
 
na kumtafuna waliahamtafuna ,hao wote!! maana hawana adabu kqbisa hao!! Kama mtu na dada ake yanaoana ,huyo dada ako yameachiana mpaka Basi!!
 


Mkuu, jionee matukio ya hapa bongo, na bado mengi zaidi ya hayo.
 
Baada ya kidagaa kukutishia kule umehamia kwa Dada tena kwenda kulala sebuleni kama Baiskeli! Mda c mrefu jiandae kufurumishwa na shemeji yako kama walivyokutimua wale waalimu
 
Ka anaona ananyanyasika si aachae kufanya kazi hukkoo

isijekuwa mwenzio anapenda kupapasa papaswa halafu weye kinakuuumaeee
 
Ww Utakuwa umezalishwa na mwarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…