Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Dada emyta moyo wangu umekutunuku

Habari zenu wanajamvi
Ki ukweli nimetokea kuvutiwa na huyu Dada
Yan hata nikiwa na njaa nikiona kale kapcha ma
Kake k wenye avatar najikuta nasiba
We Dada una mzizi au
Mana cjakuona live lakini nakupenda
Veep umeolewa weye,yan kama umeolewa mumeo ana faidi AF unaonekana una huruma pls nihurumie mdogo wako
Ninavutiwa sana na wew emyta wangu
Wakuu nisaidieni kumshawishi Dada
Babu mke wangu huyo ujue taratibu kijiti na jicho [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Nianze kwa kukushukuru mdogo wangu kwa kunipenda mana sifa ulizozimwaga sio za nchi hii.

Ila nikwambie tu ukweli nishawahiwa tayari mdogo wangu. Pia nikupe sifa mana mpaka umejitolea kunianzishia uzi inaonekana umeogopa kufa na tai shingoni.

Barikiwa sana mdogo wangu na ninakuombea kwa M'Mungu nawe uje kufanikiwa kumpata mwenye sifa kama za emmy mana kwa 80% ya ulichokiwaza kichwani mwako ndio emmy wa ukweli yupo hivyo.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanks Dada ake kwa majibu yakutia moyo nisalimie Shem,
 
Hahahaha kumuita mdogo wako umemkata stimu zoooteee. Upo vizuri emmy

Back
Top Bottom