Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Nakula ubuyu tu
Numbisa nakuona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbisa nakuona
Mkuu unamuumiza bora usingejibuNianze kwa kukushukuru mdogo wangu kwa kunipenda mana sifa ulizozimwaga sio za nchi hii.
Ila nikwambie tu ukweli nishawahiwa tayari mdogo wangu. Pia nikupe sifa mana mpaka umejitolea kunianzishia uzi inaonekana umeogopa kufa na tai shingoni.
Barikiwa sana mdogo wangu na ninakuombea kwa M'Mungu nawe uje kufanikiwa kumpata mwenye sifa kama za emmy mana kwa 80% ya ulichokiwaza kichwani mwako ndio emmy wa ukweli yupo hivyo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa Numbisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natuma maombi kwa mods waweke dirisha la chabo pm.nakosa uhondo mie
Sawa vizuri japo tumepoteana sanaNakula ubuyu tu
HA! HA! HA!albadir hivi bado zinasomwa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28]HA! HA! HA!albadir hivi bado zinasomwa?
Haina madhara ila sewezi kusemaKwa nini sasa sema tu ndugu kama hakina madhara. [emoji23]
So?! [emoji57]Yule ni bibi
Dada emmyta ujuje huku[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] somebody kakulove[emoji23] [emoji23] [emoji23]Habari zenu wanajamvi
Ki ukweli nimetokea kuvutiwa na huyu Dada
Yan hata nikiwa na njaa nikiona kale kapcha ma
Kake k wenye avatar najikuta nasiba
We Dada una mzizi au
Mana cjakuona live lakini nakupenda
Veep umeolewa weye,yan kama umeolewa mumeo ana faidi AF unaonekana una huruma pls nihurumie mdogo wako
Ninavutiwa sana na wew emyta wangu
Wakuu nisaidieni kumshawishi Dada
Hahaaa. Mumy ni bora kumwambia tu ukweli ili ajue kwamba ameshachelewa kuliko kumuacha na tamaa.
Sawa vizuri japo tumepoteana sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Numbisa Numbisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu umeflow mapema hivyo.Thanks Dada ake kwa majibu yakutia moyo nisalimie Shem,
HahahaHahaaaa. Itakuwa hajajua mi mwenzie muhenga.
Alikuwa anafanya jaribio la kurusha kombora.Kweli nimekuvulia kofia.
Hayo majibu Ni yakutia moyo au kuumiza moyo. Au hujafall in love vizuri mini?
Usiogope mkuu ila kusema nimeshindwaBasi hakuna shida mkuu. Ila sio siri umeniweka roho juu ujue.
Kitendo cha kumwaga upupu wazi hapa tunapunguza sifa moja ya uanaume.Du wanaume tunaendelea kuwa wachache yaani jibu moja kidume kanyoosha mkono
Aki ya nani lazima tumvike gauni huyu