Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,484
Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?

Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?
20200228_160155.jpg
 
Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?

Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?View attachment 1371601
Viatu haviruhusiwi ibadani siyo msikitini!
 
Watu wanaopa kuchangua uzi, ni viatu au vigezo na masharti ya juingia msikitini? Kanzu ni Ibada, na mtu ni ibada pia .....
Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?

Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?View attachment 1371601

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaopa kuchangua uzi, ni viatu au vigezo na masharti ya juingia msikitini? Kanzu ni Ibada, na mtu ni ibada pia .....

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio tinataka kujuwa imani hii inasemaje maana kuna watu fulan wao hawajavua kabisa viatu hata jamaa wa nyuma kuna picha imeonyesha vizuri hajavua je ! Imani inasemaje? Je inaangalia nafasi ya mtu au watu fulani?
 
Back
Top Bottom