Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

Msikitini ni mahali patukufu ndiyo maana anko mwenyewe na misimamo YAKE amevua buti hadi na soksi....hii ni Mara ya PILI kwa raisi wa bongo kuvua viatu,amevua viatu akifungua msikiti wa istiqama mwenyewe bila kuambiwa akiheshimu imani isiyo YAKE...uongo na uchochezi acha.
 
Uchochezi gani mkuu
 
Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?

Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?View attachment 1371601
Nnauhakika Masheikh waliokuwa nao hapo wana ilm yakutosha na wangeona kibaya chochote kinachoenda kinyume na mafundisho ya Uislam wasingesita kukizuwia.
 
Nnauhakika Masheikh waliokuwa nao hapo wana ilm yakutosha na wangeona kibaya chochote kinachoenda kinyume na mafundisho ya Uislam wasingesita kukizuwia.
Hapa sasa nimeridhika na jibu lako, majibu mengine ya waislam ijumaa tu au siku ya Idd sikuona kama yanajitosheleza
 
Watu wamevua viatu...unaandika hawajavua sasa anaweza akakurupuka MTU akaanza kuwatukana wahusika kwenye picha utakuwa umechochea kuni ziwake!
Huyo wa kuanza kutoa matusi mkuu nae atakuwa hajielewi na ndio maana mimi nimeuliza na kutaka kujibiwa kiimani wala sikutaka cheo cha mtu kitumiwe
 
Ndio tinataka kujuwa imani hii inasemaje maana kuna watu fulan wao hawajavua kabisa viatu hata jamaa wa nyuma kuna picha imeonyesha vizuri hajavua je ! Imani inasemaje? Je inaangalia nafasi ya mtu au watu fulani?
Lete hiyo picha,picha ulioweka hakuna alievaa viatu
 
Inawezekana ni watu wasiojulikana kwa hiyo hawajulikani kama wamevaa viatu au wamevua...vitu vingine ni bora tu kupotezea ndugu mtoa mada
 
Back
Top Bottom