Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Viatu haviruhusiwi ibadani siyo msikitini!Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?
Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?View attachment 1371601
Ahsante kwa mchango wako japo wewe sehemu yako ni mto Jordan ulipombatiza mwanaume mmoja adimuViatu haviruhusiwi ibadani siyo msikitini!
Kivipi mkuu kwangu ni bibi au dada?ππππHapo kwenye heading badilisha na utowe neno Dada kisha uweke neno Bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibibi kinakaribia umri wa Betina Wa SaniKivipi mkuu kwangu ni bibi au dada?ππππ
Duuuh hatari sana ndio maana hata avater yako inaendana na jina lakoKibibi kinakaribia umri wa Betina Wa Sani
Mbona wamevua viatu?
Angalia vizuri kuna watu hawana kanzu hawajavua viatuMbona wamevua viatu?
Kama ambavyo kichwa kinamuomba dada yetu mpendwa na mtetezi wa imani yake karibu hapa utuambie mbona hizi njemba zimeingia msikitini na viatu?
Swali langu lijibiwe kwa kiimani zaidi naomba watu wa protocol mtulie kwanza umbea hatuhitaji na tunajuwa kwa nini waoo hawakuvua ila majibu yajikite imani unasemaje?View attachment 1371601
Kwani unajua mtoa mada ana umri gani?Hapo kwenye heading badilisha na utowe neno Dada kisha uweke neno Bibi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani mzuri yule Bibi Hana shida ..sasa Kama alikuwa anapewa barafu miaka ya Uhuru huko unafikiri bado ni kabinti ....Duuuh hatari sana ndio maana hata avater yako inaendana na jina lako
ππ
ππππππMtani mzuri yule Bibi Hana shida ..sasa Kama alikuwa anapewa barafu miaka ya Uhuru huko unafikiri bado ni kabinti ....
70ππ
Ndio tinataka kujuwa imani hii inasemaje maana kuna watu fulan wao hawajavua kabisa viatu hata jamaa wa nyuma kuna picha imeonyesha vizuri hajavua je ! Imani inasemaje? Je inaangalia nafasi ya mtu au watu fulani?Watu wanaopa kuchangua uzi, ni viatu au vigezo na masharti ya juingia msikitini? Kanzu ni Ibada, na mtu ni ibada pia .....
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π