Dada Faiza njoo hapa utueleweshe vizuri

Mleta mada katoka boarding alikokua anashindiliwa maharage daily
 
Wewe ni muislamu? Na kama ni muislamu basi nahisi kuna mambo mengi bado hujayasoma. Hakuna khadithi wala aya ya qur ani iliyokataza kusali na viatu. Sio kuingia hapa naongelea kusali. Inafaa kusali na viatu na mtume (S.A.W) na maswahaba wake pia walisali na viatu. Nenda misri watu wanasali na viatu.
 
Tutajie hizo aya zinazoruhusu
 
Sio Misri tu hata hapa Tanzania watu tuna sali na viatu.

Bali mtume ameonekana mara nyingi sana akisali na viatu kuliko akisali bila viatu.
 
Bali hata kuswali na viatu inafaa.
 
Tutajie hizo aya zinazoruhusu
Nahisi hujaielewa. Nlipokwambia mtume alisali na viatu ina maana ya kwamba hilo jambo linafaa. Kuna mambo alifanya mtume na hayakua yanafaa na allah alimkataza. Hili la viatu hakumkataza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…