FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #41
Mkwe sasa huyu mwanamke mbona anacheza na moto kwanini asimwambie mumewe mambo yatakapokuja kufumuka itakuja kum-cost sana maana itaonekana alikuwa anaficha siri wakati inawezekana sio hivyo ni bora akamwambia once and for all ili waone inakuwaje ikiwezekana wakutane maana haya masuala ya kupigiwa na kutumiwa message saa nane za usiku ili hali wewe ni mke wa mtu inatia shaka maana mwanaume akigundua anaweza kuja na conclusion kuwa mkewe ana mahusiano na mwanaume mwingine so its best akamwambia na wakakaa chini wakayamaliza maana hiyo ndio njia itakayoondoa usumbufu.
Mkwe naomba ujifunze sawa eeeh matatizo yako usijebebesha wengine mkwe wangu.
Unaendeleaje lakini?