Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.

Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!

=========
Magret.jpg

Amezaliwa tarehe 07th march mkoani Dodoma.

Katika ITV anatangaza vipindi kama Malumbano ya Hoja na Habari za Biashara, Pia ni muandaaji na mtangazaji wa Vipindi vya Nipashe na Miwani ya maisha kwa upande wa radio one stereo.

Masomo ya uandishi wa habari na utangazaji niliyapata katika chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ). Baadae nilijiunga na Chuo cha Catholic University of Eastern Africa (CUEA). Nilianza rasmi utangazaji katika Radio Mwangaza Fm ya mjini Dodoma.

Anapenda sana Utalii hasa katika mbuga za wanyama na maeneo ya kihistoria pamoja na kusikiliza muziki na kuangalia nyimbo za injili.

Wali samaki na ugali nyama choma ni chakula akipendacho.

Vinywaji anavyopenda ni Juisi na vinywaji vingine visivyo na kievi.

Kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma ndio furaha yake.
source::: Magret Cosmas
 
vp anamfikia yule wa startv.?wanamuitaga nani sijui "kamchwa" sijui ka nini vileeeeee.
 
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.

Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!

Ana utege flani hivi.. na miguu imejaa hiyo...
 
vp anamfikia yule wa startv.?wanamuitaga nani sijui "kamchwa" sijui ka nini vileeeeee.

mbona yuko kawaida sana tu huyo......hujaonaga warembo nn ww? Njoo huku pande setu ndo utajua
 
Hao wengine wa ITV ni mitumba wakuu, wamevunja ndoa wa watu....mmmmmm kazi kwenu
 
Back
Top Bottom