Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.
Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!
=========
Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!
=========
![]()
Amezaliwa tarehe 07th march mkoani Dodoma.
Katika ITV anatangaza vipindi kama Malumbano ya Hoja na Habari za Biashara, Pia ni muandaaji na mtangazaji wa Vipindi vya Nipashe na Miwani ya maisha kwa upande wa radio one stereo.
Masomo ya uandishi wa habari na utangazaji niliyapata katika chuo cha uandishi wa habari Morogoro (MSJ). Baadae nilijiunga na Chuo cha Catholic University of Eastern Africa (CUEA). Nilianza rasmi utangazaji katika Radio Mwangaza Fm ya mjini Dodoma.
Anapenda sana Utalii hasa katika mbuga za wanyama na maeneo ya kihistoria pamoja na kusikiliza muziki na kuangalia nyimbo za injili.
Wali samaki na ugali nyama choma ni chakula akipendacho.
Vinywaji anavyopenda ni Juisi na vinywaji vingine visivyo na kievi.
Kufanya kazi kwa bidii na kwa kujituma ndio furaha yake.
source::: Magret Cosmas