Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mimi kuna yule mtoto wa Citizen Tv ya Kenya mashallah dah. Yaani I just find myself watching Kenyan news just to look at her. Kenya oyee!
mnajadili nini...?
mh! Nimeogopa vikaterero visijekuntoa roho!!
yule mtoto mkali nje tu...lakin kitandani sifuri!
yah, haidhuru atakua kapiga. bafuni peke yake!Aise mkuu Majigo umepiga pale? Dah, umefaidi sana, ama kweli watu hamna dini. Haya leta contact manake vizuri shurti ule na nduguzo.
Mimi kuna yule mtoto wa Citizen Tv ya Kenya mashallah dah. Yaani I just find myself watching Kenyan news just to look at her. Kenya oyee!
yule mtoto mkali nje tu...lakin kitandani sifuri!
Lulu H? :A S thumbs_up:
aghhh kumbe ni hawa watu wa albadirjamani kashaolewa mwacheni mme wake awe na amani
aghhh kumbe ni hawa watu wa albadir
mdada yupi wa ITV....?mdada wa ITV
jamani kashaolewa mwacheni mme wake awe na amani
Wanamwita nani huyo mnyange?
jamani kashaolewa mwacheni mme wake awe na amani
tehee, ama kweli kipenda roho kula nyama mbichi, asa ndo nini hii?
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.
Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!
Mkuu Tyta mimi nipo kwenye process kwa Janet Mbuguauzuri hauna albadir....