Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

Mimi kuna yule mtoto wa Citizen Tv ya Kenya mashallah dah. Yaani I just find myself watching Kenyan news just to look at her. Kenya oyee!

yule mtoto mkali nje tu...lakin kitandani sifuri!

Lulu H? :A S thumbs_up:

jamani kashaolewa mwacheni mme wake awe na amani
1464664_640565646006535_1066483151_n.jpg
8517d2ccd51068a4efd751957b85a2e4_M.jpg
6.jpg
2fff10c0838d11e3be511244bbeab6f1_8.jpg
 
Mbona watanzania mnapenda sana used.
Gari used
nguo used
simu used
jokofu used
wanawake used

Hta huyo unaemtamani ni USED.
 
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana.

Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo!

Salary Slip huyo dada unayemsema yupo humu JF! Unaonaje uki-scan Salary Slip yako ukaiweka jamvini? ...atakudondokea tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom