Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta.
Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula bata, unachanganyikiwa ukiona wanapiga picha kwenye vyoo vya hoteli kubwa au ukiona wanapost picha wako uwanja wa ndege wakati hawana kazi!
Narudia acha kuwaonea wivu hao watu, ishi na mwanaume wako kujiangalia wewe! Kuna wadada wengi (sio wote) wanapost hizo picha lakini ukisikia wanayopitia hatatamani kula hata mwezi mzima uf*e na njaa ututie hasara ya Jeneza!
NISHAMALIZA;