Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

Dada kama huwezi kutengeneza kipato hata cha sh. 500 kwa siku hufai kuwa mshauri, mpenzi, mchumba au mke wa mwanaume yoyote

Ila sometimes inaboa sana. Mwanamke anaomba mpaka hela ya pedi aisee. Mpaka hamu ya kuwa nae inaisha kabisa. Punguzeni/acheni kuomba vitu vidogovudogo vinawashushia sana thamani yenu
Mwanamke akijitegemea kwa kiasi chake inapendeza sana. Hata hamu ya kumfahamu vyema inakuwepo na inaashiria ana nia ya dhati na wewe. Sasa mwanamke ni mizinga toka umeomba namba mpaka siku ya kumvua chupi unakuwa unatamani gemu iishe haraka ukimpa kisogo imetoka hio.

Unavumilia ule tu kisha unachapa lami.
 
Ila sometimes inaboa sana. Mwanamke anaomba mpaka hela ya pedi aisee. Mpaka hamu ya kuwa nae inaisha kabisa. Punguzeni/acheni kuomba vitu vidogovudogo vinawashushia sana thamani yenu
Sasa kama hana amuombe nani na wewe ndo mtu wake? Acha kukimbia majukumu bro..
 
Hao watafutaji nao jeuri balaa eti sibabaishwi na mwanaume, sasa sijui tuchukue lipi
Hata km ni mama wa nyumbani ila cha msingi mwanamke awe anaVision, lazima aelewe dunia inaendaje asiwe mshamba, akuChallenge mwanaume kuDevelop as a person. Sio demu kutwa vikaptura na kushinda salon halafu kichwani hollow head.
 
Back
Top Bottom