K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 May 30, 2024 #101 Poa, ila "submissive " ni kinini?
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 May 30, 2024 #102 Hilo la kumnyima tendo ndio litamfukuza kabisaaaaaaaa! Wapo wengi wanaotoa na anachagua, atakung'ang'ania wa nini?
Hilo la kumnyima tendo ndio litamfukuza kabisaaaaaaaa! Wapo wengi wanaotoa na anachagua, atakung'ang'ania wa nini?
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jun 11, 2024 #103 MELEKAHE said: Binafsi ninatafuta mke wa kuoa more than 2 years tangu niamue hili ila bado sijamuona. Nakutana na wanawake wanakatisha tamaa kwa kweli. Kupata mke anaejielewa ni kazi ngumu kwa mwanaume kuliko kutafuta pesa Click to expand... Aisee 🤔
MELEKAHE said: Binafsi ninatafuta mke wa kuoa more than 2 years tangu niamue hili ila bado sijamuona. Nakutana na wanawake wanakatisha tamaa kwa kweli. Kupata mke anaejielewa ni kazi ngumu kwa mwanaume kuliko kutafuta pesa Click to expand... Aisee 🤔
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Jun 11, 2024 #104 Uzi murwa kbsa