Dada, kama unataka kuolewa zama hizi kaa kijanja

Kumfunza pia lazima awe na msingi wa kufundishika. Ndio maana hata engineering degree zinataka kwanza uwe umefaulu physics na mathematics.

Mtu anapaswa aoneshe dalili ya kufundishika. Hata wewe naweza kupa challenge uone uhalisia
Kwamba wote ulowaona hawafundishiki?
 
Wewe ndio unawapotosha Yani kashalala na wanaume kibao kasha mwanamke ameshaliwa sana sababu ya kukosa hela ya marejesho aje anisubirishe Mimi Hadi ndoa
Kwaiyo unataka asiolewe kisa kalala na wanaume wengi, how? btw huu uzi nimetoa code kwa wanawake ili wapate kuolewa regardless of their sexual background so ukigundua kuwa kaliwa sana ila anafaa kuwa mke ishi nae ila uwe mchepukaji mzuri kujiridhisha huko nje kuliko kuoa ambae mileage zinasoma kms chache af akaja kuwa kicheche kwenye ndoa
 
Mwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.

Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.

Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Mkuu upo vizuri.
 
KOOOTE umeandika vizuri HAPO tu ndio umeharibu kuwapa HUO msamiati mgumu wengine hawaelewi what is submissive? Kwanini usingeandika Kiswahili km ulivyoandika huko JUU
kibantu chepesi ni kuwa wawe na utii kwa hao wachumba zao sio wanakua na midomo kama chiriku
 
Vijana mkilishwa mkashiba makande ya waume wa dada zenu mnaenda kulala sebulen mnakuja jf kutuandikia upumbav
 
Watunzeni mabinti zenu wote mnaolalama humu ili vijana wajao waje wawakute mabinti zenu bikra

Mnaolalama humu kuhusu tabia za mabinti wa siku hizi wengi wenu mna mabinti wanakua au mna vichanga huko mitaani na magetoni, nawashauri vitunzeni hivyo vibinti vyenu na vipambeni na tabia njema vije viwe vijimwanamke vyema kwa wanaume wajao

Hapa kila mtu anaponda malezi ya wanawake wa sasa kuwa mabovu na mabinti kujiachia hovyo pamoja na tabia mbaya huku kiuhalisia mamen wengi wana vitoto vya kike huko mtaani vinalelewa na single mother huku ukijua kabisa huyo ni binti yako ambae nayeye baadae atakuwa mwanamke wa hovyo

Mabadiriko huanza na wewe
 
Mwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.

Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.

Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Mkuu omba usizae jinsia ke ulivyoshauri kana kwamba upo serious kumbe haupo serious at all
 
hahahah watapita wanasonya tuuu hapa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom