Dada, kama unataka kuolewa zama hizi kaa kijanja

Dada, kama unataka kuolewa zama hizi kaa kijanja

As long as mwanaume anakupenda na ana malengo nawewe there's no way akasitisha mpango wa kuoa kisa mwanamke hana bikra. hio hoja ina nguvu kwa kuwa wanaume tuna access na sex muda wote sababu wanawake wameshindwa kujisitiri wanagawa tu ovyoovyo bila formula.

Sisi wanaume tuna tabia ya kukinai uchi mmoja haraka na kutamani mwingine kwa sababu ndo tumeumbwa ivo. So ili tuoe ni lazima tutengenezewe mazingira ya "kiu" na "uchu"
So unataka kusema bikra haina uzito kwa mwanaume kuchagua mke sahihi? [emoji848]
 
Mwanamke mwenye uhalali wa kumwambia mwanaume wasiingiliane hadi Ndoa ni bikra pekee yake. Sababu huyo hata akikusubirisha miaka 5 unajua wewe ndie unakwenda kuanza nae na ametunza mwili kwaajiri yako.

Waliobakia kuanzia wenye ambao walikutana na mwanaume m'moja tu , wenye X kadhaa, masingle mothers, hao wote kuolewa tena kwa mahari ni umesaidiwa sana na siku ya mahari na posa upige magoti yote mawili kumshukuru sana ambaye kajitoa kukuoa kawaacha bikra kaja kwako kukuvua aibu na fedheha ambayo ungetembea nayo maisha yako yote na kuifanya familia yako kuonekana ni haijui malezi ya binti yao.

Mwanamke ambaye hana bikra akikwambia hataki kufanya chochote na wewe hadi ndoa mwambie awe sasa anakulipa wewe kumsubiria yaani awe anakununulia vocha, anakutoa out, anakununulia zawadi, etc halafu akwambie ni muda gani anaweza kuendelea kukaa akifanya huo upumbavu wa kukusubirisha akikwambia haiwezekani muulize kwahiyo ulitaka mimi ndio nikae kama kilaza nagharamikia upumbavu wako? Si ndio?
Umesema vyema,lakini mbuzi za siku hizi unakuta zinavesha pete wanawake waliobeba makopo katikati ya mapaja yao huku zimepiga magoti.

Hao wazazi wanavyotamka hizo mahari sasa,utadhani wanauza dhahabu
 
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!!

Kiukweli zama zimebadilika sana

ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu ili mpate headlines za kuwasimulia shoga zenu.

sasa leo nawaibia siri ukitaka mchumba wako awe siriaz na suala la kukuoa mnyime tendo mwambie mpaka ndoa. Hii ni kwa wale namba E na D zilizochangamka

Kwa wale namba A mpaka C hama mtaa ikibidi mkoa [nenda sehemu ambayo hawakujui kabisa] kisha badili lifestyle yako, kama ulikua mtu wa pombe sana na kujiachia acha, vaa kwa adabu mwanamke kujisitiri, anza kwenda kanisani/msikitini na kwenye matukio kama sherehe za harusi and the like sio kwenye shughuli.

Asikwambie mtu hakuna mwanamke bila mume and vice versa. Mtu yeyote anaekwambia kuwa ndoa sio muhimu na haina maana mfutilie mbali kabisa ikiwezekana mtupie majini ata 7 yamshikishe adabu.

Mwisho kabisa kuwa submissive kwa mchumba wako/utaempata

Ni hayo tu
Wewe ndio unawapotosha Yani kashalala na wanaume kibao kasha mwanamke ameshaliwa sana sababu ya kukosa hela ya marejesho aje anisubirishe Mimi Hadi ndoa
 
Kama Wewe upo hatua fulani ya ufahamu wa juu ,

Zingatia haya mambo tafuta mwanamke yeyote mwenye uwezo Wa kufundishika na kufata falsafa zako utakazompa um-train then ukiona anamwelekeo mzuri muoe

Nchi yetu ukiwa value man kupata value woman ni ngumu Sana

Kuna wanawake wazuri Sana wa sura na maumbo Ila hawana presence


Doesn't matter she is ugly or beuty when she is teachable she is deserve to be married.
Mr kumpata mwanamke anaefundishika labda at least apate binti ambaye yupo around 18-22 ndo unaweza kumtrain vzr na yupo flexible sana kujifunza mambo mengi pia anakua hajaumizwa sana na mahusiano maana wengi ndo unakuta wanahitimisha safari zao za kielimu wanakua wameonjwa onjwa tu kawaida.

Nje na hapo ni mwanamke akupende ww Kwa sababu fulani either Mali, kipaji, kuwa vzr kwenye tano Kwa sita, mwanamke kuhitaji ndoa Kwa sababu ya pressure ya umri au kuhitaji mtoto katika mazingira kama hayo mwanamke anakubali kurisk mda na resources zake ili ajifunue falsafa zako ili akushawishi umuoe
 
Anha,vizuri!

But bora ukawa neutral maana leo hujui maana ya ulichoandika pale juu siku utakapojua utakosa wa kumlaumu,sikuombei ufike huko.
sijaandka nikiwa nmelewa npo timamu kwaio najua,,ila sio mbaya kuandka unachofkiria kwa mda uo haswaaaa hum jf
 
Back
Top Bottom