Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.

......usijimalize sana dadangu.
 
Unaweza kuishi bila kuolewa na usipungukiwe kitu donโ€™t overrate suala la kuolewa.
 
 
Na kuolewa si kuolewa....
Bado safari inaendelea hapo
 
Pole ya nini?
Mbona pole yako imekaa kikuda sana.
Hivi msiba ushamaliza kulia wewe,au ndo wale kina baba no care?
Mbona makasiriko mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,alafu msiba gan huo usio Isha ad Leo mwez unakalibia kuisha mkuu niwe nao umekua ruba uning'ang'anie kuas iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ